Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,985
- 27,920
ok! Well!mtoa mada ni ccm tumekujua tumekuelewa hutusumbui katu /hautafanikiwa kuwagonganisha wana wa ukawa ngo na kitita ulicho haidiwa ndio kimeshayayuka go to hell
ok! Well!mtoa mada ni ccm tumekujua tumekuelewa hutusumbui katu /hautafanikiwa kuwagonganisha wana wa ukawa ngo na kitita ulicho haidiwa ndio kimeshayayuka go to hell
Hijja Madava Kama huyo SLAA sio Mkombozi kwako na wewe ni CHADEMA ni kwanini anapata kura nyingi zaidi ya huyo LIPUMBA?
Kuongoza nchi sio lazima uwe na VYETI VYA UCHUMI angalia KAGAME anavyoiendesha RWANDA vizuri...
LIPUMBA Amegombea Urais toka 1995.... kwahiyo ametoa sera zake na Wananchi hawazioni kuwa zinafaa...
Alikuwa Mchumi wa RAIS Mwinyi - Ndio hapo tulianza kuwa na MATABAKA ya MATAJIRI na MASIKINI... kuwa MaKUBWA
Naona kila dalili za mwisho wa UKAWA kugubikwa na umwagaji wa damu.
===============
Mnaona wakuu ndiyo maana nasema viongozi wa kidini kama slaa hawatufai kwani wanawadumaza waumini wao hadi mtu anaongea kwamba elimu ya mapadri ni bora kuliko yetu!!! how? kwamaana akiwa padre anamzidi daktari engineer and any specialist????? am sure unaumwa mhemko wa dini zaidi kama wafuasi wa kibwetere .....
Padre kaspecialize kenye kanon law na administration ya church .... anamzidi vipi specialist wa IT? or uchumi?
Mtu kama wewe ndio wanaosumbua Tanzania kwa ukosefu wa maarifa na maono.
LIPUMBA OK.
Teh Teh kwa hiyo ninyi hamtaki Lipumba wala kumsikia mnamtaka Slaa ...
Wana Jf wasalaam!
Likiwa joto la uchaguzi limeanza kupanda lakini kwa upande wa UKAWA bado wana mtihani mkubwa sana kumchagua atakaye wawakilisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Wana UKAWA wengi wamekuwa wakipendelea Mh prof .Lipumba apeperushe bendera ya UKAWA kwani kwa sasa ana mvuto ndani na nje ya UKAWA kuliko Dr Slaa ambaye anaonekana kulazimisha lazima agombee!
Wana Jf mwezi December nilipata nafasi ya kukaa na vijana kama kumi pale Tengeru na tulibadilishana mawazo kuhusu siasa za Tanzania na wengi walijikita kujadili nani anafaa kugombea Urais kati ya Lipumba na Slaa hapa ndio ubishi ulipo anza na wengi walitaka Slaa apumzike wakisema Lipumba ndio anaye faa kipindi hiki kama wanataka kuchukua nchi na atawasaidia kufuta zile propaganda za udini.
Lakini wengine walishikilia msimamo kuwa hata kielimu Lipumba anamzidi Slaa kwani Slaa hana Elimu yeyote zaidi ya kusomea dini na Ikulu hatupeleki kiongozi wa dini kwakweli kwenye hili walibishana sana wengi wakisema Elimu ya Slaa haitambuliki kimataifa na si mtaalam wa jambo lolote.
Kuna mwingine aliendelea kusema kuwa Slaa hafai kugombea Urais maana amekuwa akichochea migogoro ndani ya chama chake na kuwagawa wanachama kwenye makundi!
Wengi walikuwa wana sisitiza kuwa patachimbika kama Lipumba hatopitishwa na hakutakuwa na maelewano kwenye hilo na wakasema Lipumba asipopitishwa kura zao watampa mgombea wa CCM kama walivyo fanya 2010!
Wana Jf joto la uchaguzi liliendelea nilipo pata safari ya kwenda Tanga nilipita mtaa fulani pale Tanga mjini na hapo nilikuta wakijadili siasa kwa upana na wengi walionekana kuunga mkono UKAWA na walikuwa wanasema wana furahishwa na mwenendo wa UKAWA lakini wana kerwa nakampeni za chinichini zinazo fanywa ili kumpitisha Slaa kugombea Urais.. na wengi walikuwa wakiongea kwa jaziba huku wakisisitiza kuwa mipango ya kumpitisha Slaa kugombea Urais hazito kubalika na patachimbika kabisa siku hiyo na hawatoburuzwa na mtu...
Kuna kijana mmoja alisema kuwa wao kama UKAWA wana mhitaji Lipumba lasivyo patachimbika ..maana wanaona dalili za mizengwe! Pia alisema ana kerwa na baadhi ya viongozi wao kuwatuma vijana wao kwenye mitandao ili wawapambe na kuwapigia campaign wakati muda bado....na aliendelea kusisitiza kuwa "kama chadema wanataka kuwajua CUF ngangari kwa vitendo wajaribu mizengwe".
Kwakweli wana Tanga walionekana wenye imani kubwa na Lipumba na walisisitiza kuwa ni wakati sasa Mchumi huyo kuiongoza nchi hii!
Karibuni wana jamvi!
Tangu lini wewe umekuwa msemaji wa UKAWA!? Acha uhuni na uchochezi banaaa jihusishe na yale yanayokuhusu ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
wewe ndo una kimuyemuye cha udini, huo ndo ukweli, ukubali ama ukatae.===============
Mnaona wakuu ndiyo maana nasema viongozi wa kidini kama slaa hawatufai kwani wanawadumaza waumini wao hadi mtu anaongea kwamba elimu ya mapadri ni bora kuliko yetu!!! how? kwamaana akiwa padre anamzidi daktari engineer and any specialist????? am sure unaumwa mhemko wa dini zaidi kama wafuasi wa kibwetere .....
Padre kaspecialize kenye kanon law na administration ya church .... anamzidi vipi specialist wa IT? or uchumi?
Mtu kama wewe ndio wanaosumbua Tanzania kwa ukosefu wa maarifa na maono.
LIPUMBA OK.
===============
Mnaona wakuu ndiyo maana nasema viongozi wa kidini kama slaa hawatufai kwani wanawadumaza waumini wao hadi mtu anaongea kwamba elimu ya mapadri ni bora kuliko yetu!!! how? kwamaana akiwa padre anamzidi daktari engineer and any specialist????? am sure unaumwa mhemko wa dini zaidi kama wafuasi wa kibwetere .....
Padre kaspecialize kenye kanon law na administration ya church .... anamzidi vipi specialist wa IT? or uchumi?
Mtu kama wewe ndio wanaosumbua Tanzania kwa ukosefu wa maarifa na maono.
LIPUMBA OK.
Haya ni maoni ya wana UKAWA wengi wana mhuhitaji Lipumba!
mimi naamini mbinu zote chafu dhidi ya UKAWA haziwezi kufanikiwa kwa sababu UKAWA tunamtegemea sana Mungu atuongoze daima .wizi wa rasimali na pesa za umma ndo mwaka ndo mwisho wa ccm kuiba wajiandae kuwa wapinzani mwakani.Heshima ikurudie nawe pia Mkuu. Wapumbavu sana hawa Mkuu, ya kwao yanawashinda sasa wameamua kufanya uchochezi dhidi ya UKAWA ili kuleta vurugu palipo na mshikamano mkubwa.
hata damu yako huenda ukamwagika mwaka huu.Naona kila dalili za mwisho wa UKAWA kugubikwa na umwagaji wa damu.
slaa amezeeka, hata ukimtazama kwenye media unaona kabisa hana nguvu tena kumpa urais ni kumtwisha mzigo. Ila kwa sababu ya uroho yeye bado anajiona anafaa tu. Angebak pemben hata awe mshauri tu wa siasa