Wana UKAWA tunamhitaji Prof. Lipumba lasivyo patachimbika

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,942
Reaction score
43,601
Wana Jf wasalaam!
Likiwa joto la uchaguzi limeanza kupanda lakini kwa upande wa UKAWA bado wana mtihani mkubwa sana kumchagua atakaye wawakilisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Wana UKAWA wengi wamekuwa wakipendelea Mh prof .Lipumba apeperushe bendera ya UKAWA kwani kwa sasa ana mvuto ndani na nje ya UKAWA kuliko Dr Slaa ambaye anaonekana kulazimisha lazima agombee!

Wana Jf mwezi December nilipata nafasi ya kukaa na vijana kama kumi pale Tengeru na tulibadilishana mawazo kuhusu siasa za Tanzania na wengi walijikita kujadili nani anafaa kugombea Urais kati ya Lipumba na Slaa hapa ndio ubishi ulipo anza na wengi walitaka Slaa apumzike wakisema Lipumba ndio anaye faa kipindi hiki kama wanataka kuchukua nchi na atawasaidia kufuta zile propaganda za udini.

Lakini wengine walishikilia msimamo kuwa hata kielimu Lipumba anamzidi Slaa kwani Slaa hana Elimu yeyote zaidi ya kusomea dini na Ikulu hatupeleki kiongozi wa dini kwakweli kwenye hili walibishana sana wengi wakisema Elimu ya Slaa haitambuliki kimataifa na si mtaalam wa jambo lolote.
Kuna mwingine aliendelea kusema kuwa Slaa hafai kugombea Urais maana amekuwa akichochea migogoro ndani ya chama chake na kuwagawa wanachama kwenye makundi!

Wengi walikuwa wana sisitiza kuwa patachimbika kama Lipumba hatopitishwa na hakutakuwa na maelewano kwenye hilo na wakasema Lipumba asipopitishwa kura zao watampa mgombea wa CCM kama walivyo fanya 2010!

Wana Jf joto la uchaguzi liliendelea nilipo pata safari ya kwenda Tanga nilipita mtaa fulani pale Tanga mjini na hapo nilikuta wakijadili siasa kwa upana na wengi walionekana kuunga mkono UKAWA na walikuwa wanasema wana furahishwa na mwenendo wa UKAWA lakini wana kerwa nakampeni za chinichini zinazo fanywa ili kumpitisha Slaa kugombea Urais.. na wengi walikuwa wakiongea kwa jaziba huku wakisisitiza kuwa mipango ya kumpitisha Slaa kugombea Urais hazito kubalika na patachimbika kabisa siku hiyo na hawatoburuzwa na mtu...
Kuna kijana mmoja alisema kuwa wao kama UKAWA wana mhitaji Lipumba lasivyo patachimbika ..maana wanaona dalili za mizengwe! Pia alisema ana kerwa na baadhi ya viongozi wao kuwatuma vijana wao kwenye mitandao ili wawapambe na kuwapigia campaign wakati muda bado....na aliendelea kusisitiza kuwa "kama chadema wanataka kuwajua CUF ngangari kwa vitendo wajaribu mizengwe".

Kwakweli wana Tanga walionekana wenye imani kubwa na Lipumba na walisisitiza kuwa ni wakati sasa Mchumi huyo kuiongoza nchi hii!

Karibuni wana jamvi!
 
Lumumba umeamka sasa hivi au Morning Glory tena?
 
slaa amezeeka, hata ukimtazama kwenye media unaona kabisa hana nguvu tena kumpa urais ni kumtwisha mzigo. Ila kwa sababu ya uroho yeye bado anajiona anafaa tu. Angebak pemben hata awe mshauri tu wa siasa

Elaitonga Mrema alishawahi kusema anayejua kuwa kazeeka ni Mkewe, vii tena wewe Lumumba/Buku 7?
 
slaa amezeeka, hata ukimtazama kwenye media unaona kabisa hana nguvu tena kumpa urais ni kumtwisha mzigo. Ila kwa sababu ya uroho yeye bado anajiona anafaa tu. Angebak pemben hata awe mshauri tu wa siasa

Na hili ndilo wanalo sema wana CUF
 
tuliza boli mnahangaika eny lumumba wa buku 7 mmeshikwa pabaya ukawa watakubaliana kwa pmoja nani apeperushe bendera yao kuhusu slaa hilo ndilo komesha yenu jiwe lile lililokataliwa na waash ndiyo yeye
 
Kuhusu elimu isiyotambulika na kwamba ni yakidini(Catholic), hapo umechapia pakubwa.

Unapaswa kufahamu jambo hili, "ELIMU WANAYOIPATA MAPADRI NI MARADUFU UKILINGANISHA NA ELIMU TUNAYOISOMEA KWENYE NORAMAL UNIVERSITIES""

Katika suala la elimu, hata kama Lipumba atakuwa na degree milioni za uchumi; bado kwa elimu aliyonayo SLAA, yupo juu ya Lipumba. Tena mbali mno.

Mengineyo niwakaribishe wadau waendelee kuchambua.
 
Wana Jf wasalaam!
Likiwa joto la uchaguzi limeanza kupanda lakini kwa upande wa UKAWA bado wana mtihani mkubwa sana kumchagua atakaye wawakilisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Wana UKAWA wengi wamekuwa wakipendelea Mh prof .Lipumba apeperushe bendera ya UKAWA kwani kwa sasa ana mvuto ndani na nje ya UKAWA kuliko Dr Slaa ambaye anaonekana kulazimisha lazima agombee!

Wana Jf mwezi December nilipata nafasi ya kukaa na vijana kama kumi pale Tengeru na tulibadilishana mawazo kuhusu siasa za Tanzania na wengi walijikita kujadili nani anafaa kugombea Urais kati ya Lipumba na Slaa hapa ndio ubishi ulipo anza na wengi walitaka Slaa apumzike wakisema Lipumba ndio anaye faa kipindi hiki kama wanataka kuchukua nchi na atawasaidia kufuta zile propaganda za udini.

Lakini wengine walishikilia msimamo kuwa hata kielimu Lipumba anamzidi Slaa kwani Slaa hana Elimu yeyote zaidi ya kusomea dini na Ikulu hatupeleki kiongozi wa dini kwakweli kwenye hili walibishana sana wengi wakisema Elimu ya Slaa haitambuliki kimataifa na si mtaalam wa jambo lolote.
Kuna mwingine aliendelea kusema kuwa Slaa hafai kugombea Urais maana amekuwa akichochea migogoro ndani ya chama chake na kuwagawa wanachama kwenye makundi!

Wengi walikuwa wana sisitiza kuwa patachimbika kama Lipumba hatopitishwa na hakutakuwa na maelewano kwenye hilo na wakasema Lipumba asipopitishwa kura zao watampa mgombea wa CCM kama walivyo fanya 2010!

Wana Jf joto la uchaguzi liliendelea nilipo pata safari ya kwenda Tanga nilipita mtaa fulani pale Tanga mjini na hapo nilikuta wakijadili siasa kwa upana na wengi walionekana kuunga mkono UKAWA na walikuwa wanasema wana furahishwa na mwenendo wa UKAWA lakini wana kerwa nakampeni za chinichini zinazo fanywa ili kumpitisha Slaa kugombea Urais.. na wengi walikuwa wakiongea kwa jaziba huku wakisisitiza kuwa mipango ya kumpitisha Slaa kugombea Urais hazito kubalika na patachimbika kabisa siku hiyo na hawatoburuzwa na mtu...
Kuna kijana mmoja alisema kuwa wao kama UKAWA wana mhitaji Lipumba lasivyo patachimbika ..maana wanaona dalili za mizengwe! Pia alisema ana kerwa na baadhi ya viongozi wao kuwatuma vijana wao kwenye mitandao ili wawapambe na kuwapigia campaign wakati muda bado....na aliendelea kusisitiza kuwa "kama chadema wanataka kuwajua CUF ngangari kwa vitendo wajaribu mizengwe".

Kwakweli wana Tanga walionekana wenye imani kubwa na Lipumba na walisisitiza kuwa ni wakati sasa Mchumi huyo kuiongoza nchi hii!

Karibuni wana jamvi!

Kwani cc ya kisiwandui imewa ahidi kiasi gani kwa kuhakikisha mnawavuruga UKAWA?
 
Katika kuanza Mada Unaonekana ni Mwana-UKAWA lakini ukisoma katikati ya Mistari wewendi DESA au Pandikizi la MaCCM.Maana anasema wanamtihani mgumu badala ya Kusema Wana-Ukawa tunamtihani mgumu wa Kumpata mgombea.
 
huyu babu silaa nani atampa, mropokaji, tunahitaji watu wenye maauzi magumu wasio wakukurupuka,
 
Ruttashobola Wewe si ni katibu wa (W) wa CCM.

Tangu lini adui akakuchagulia silaha ya kumua? Acheni VIOJA nyinyi vijana wa Lumumba.

Kwa watanzania walivyo ichoka ccm wako tayari kumchagua kiongozi yeyote kutoka UKAWA.
 
Back
Top Bottom