Naungana na wewe hata kuwa upande wa umri dr slaa amezeeka sana hataweza kuwa kiongozi mzuri yasije kutukuta ya zambia.Lipumba ni msomi na ni mchumi aliebobea, ndio mgombea pekee anaefaa Ukawa, Slaa ni padri Tanzania haina dini
Lipumba akipitishwa kugombea urais ccm itapata wakati mgumu sana.
Kwi kwi kwi kwi kwi Maintarahamwe yanataka kujiingiza kinyemela katika kumchagua mgombea wa UKAWA, wakati mpaka leo wao hawajamjua ni nani atakuwa ni mgombea wao maana wote waliojitokeza Kitine kasema wote ni wahuni tu na Kingunge naye akasema wote hawana sifa hata moja ya kuongoza nchi.
Naomba fafanua mkuu hiyo elimu gani ambayo hata mtu akiwa na degree kumi haifikii???
mada hapa ni.lipumba kugombea urais Ukawa,rudi kwenye mada mkuu
Mada hapa ni Maintarahamwe kutaka kuingilia mambo yasiyowahusu. Wajibuni Kitine na Kingunge na ya Ngoswe mwachieni Ngoswe hayawahusu.
Wakuu Pamoja Kuwa Mimi Ni Mwanachama Mtiifu Wa CHADEMA Mwenye Dhamira Ya Kweli Ya Kuikomboa Nchi Hii Lakini Simwoni Dr Slaa Kama Mkombozi Wa Kweli Nchi Yetu Ina Ugonjwa Wa Uchumi Ulosababishwa Na Virus Aina Ya Ulafiwaviongozi Na Tiba Halili Ya Virus Hivi Ni Prof Wa Uchumi Alobobea Duniani Prof. Lipumba Cdm Tuachane Na Dhana Kuwa Sisi Ni Bora Kuliko Wapinzani Wote Bali Tuangalie Alie Bora Kwa Watanzania Wote
Lakini mbona huyu ndugu ndiye aliyekuwa mshauri wa ally Hassan mwinyi
Lipumba lazima agombee urais kupitia Ukawa, taka usitake ndio hivyo
Ukitafakari kwa kina pale ukawa watu wenye unafuu wa akili wako wawili tu lipumba na mbunge wa rombo joseph selasini.