Wana UKAWA tunamhitaji Prof. Lipumba lasivyo patachimbika

Wana UKAWA tunamhitaji Prof. Lipumba lasivyo patachimbika

mtoa mada anatumia neno .*'patachimbika'* Akitafuta namna ya kutuchonganisha kuleta mgogoro, uhasama na vurugu
huyu ni mtu wa machafuko, visasi na fujo .kauli zake zimekosa mashiko kwa kuusindiza ujumbe na machafuko kutufarakanisha wanaukawa .
wewe ni ccm damu buku7 member unapewa vitendea kazi kuharibu kazi njema mungu alioianzisha ukawa ni mpango wa Mungu kwa ukombozi.

Wana UKAWA wana mhitaji Lipumba na hayo ni maneno yao
 
Mtoa Mada ni CCM tumekujua tumekuelewa hutusumbui katu /HAUTAFANIKIWA KUWAGONGANISHA WANA WA UKAWA NGO na kitita ulicho haidiwa ndio kimeshayayuka GO TO HELL

Mkuu mimi nimefikisha taarifa
 
viongozi wa UKAWA wapo makini, wanachama wa ukawa wapo makini wao.wanasonga mbele ninyi mnacheza zilipendwa
 
Wana Jf wasalaam!
Likiwa joto la uchaguzi limeanza kupanda lakini kwa upande wa UKAWA bado wana mtihani mkubwa sana kumchagua atakaye wawakilisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Wana UKAWA wengi wamekuwa wakipendelea Mh prof .Lipumba apeperushe bendera ya UKAWA kwani kwa sasa ana mvuto ndani na nje ya UKAWA kuliko Dr Slaa ambaye anaonekana kulazimisha lazima agombee!

Wana Jf mwezi December nilipata nafasi ya kukaa na vijana kama kumi pale Tengeru na tulibadilishana mawazo kuhusu siasa za Tanzania na wengi walijikita kujadili nani anafaa kugombea Urais kati ya Lipumba na Slaa hapa ndio ubishi ulipo anza na wengi walitaka Slaa apumzike wakisema Lipumba ndio anaye faa kipindi hiki kama wanataka kuchukua nchi na atawasaidia kufuta zile propaganda za udini.

Lakini wengine walishikilia msimamo kuwa hata kielimu Lipumba anamzidi Slaa kwani Slaa hana Elimu yeyote zaidi ya kusomea dini na Ikulu hatupeleki kiongozi wa dini kwakweli kwenye hili walibishana sana wengi wakisema Elimu ya Slaa haitambuliki kimataifa na si mtaalam wa jambo lolote.
Kuna mwingine aliendelea kusema kuwa Slaa hafai kugombea Urais maana amekuwa akichochea migogoro ndani ya chama chake na kuwagawa wanachama kwenye makundi!

Wengi walikuwa wana sisitiza kuwa patachimbika kama Lipumba hatopitishwa na hakutakuwa na maelewano kwenye hilo na wakasema Lipumba asipopitishwa kura zao watampa mgombea wa CCM kama walivyo fanya 2010!

Wana Jf joto la uchaguzi liliendelea nilipo pata safari ya kwenda Tanga nilipita mtaa fulani pale Tanga mjini na hapo nilikuta wakijadili siasa kwa upana na wengi walionekana kuunga mkono UKAWA na walikuwa wanasema wana furahishwa na mwenendo wa UKAWA lakini wana kerwa nakampeni za chinichini zinazo fanywa ili kumpitisha Slaa kugombea Urais.. na wengi walikuwa wakiongea kwa jaziba huku wakisisitiza kuwa mipango ya kumpitisha Slaa kugombea Urais hazito kubalika na patachimbika kabisa siku hiyo na hawatoburuzwa na mtu...
Kuna kijana mmoja alisema kuwa wao kama UKAWA wana mhitaji Lipumba lasivyo patachimbika ..maana wanaona dalili za mizengwe! Pia alisema ana kerwa na baadhi ya viongozi wao kuwatuma vijana wao kwenye mitandao ili wawapambe na kuwapigia campaign wakati muda bado....na aliendelea kusisitiza kuwa "kama chadema wanataka kuwajua CUF ngangari kwa vitendo wajaribu mizengwe".

Kwakweli wana Tanga walionekana wenye imani kubwa na Lipumba na walisisitiza kuwa ni wakati sasa Mchumi huyo kuiongoza nchi hii!

Karibuni wana jamvi!

We tezi dume kweli kwani 2010 Lipumba hakupitishwa? Dr Slaa ndiye aliyesababisha tezi dume akaanguka kifaa pale jangwani halafu leo unakuja na ngonjera zako za kitezi dume hapa. Lipumba kaanza kugombea muda toka enzi za Mkapa,yeye ndiyo atakuwa analazimisha lakini sio Slaa. CCM ndiyo inakazi:- 1. kati ya kambi ya wapinga ufisadi na kambi ya mafisadi. 2. Kati ya Mkristo na Muislamu 3. Mtanganyika au Mzanzibar. Hapo lazima CCM iangukie pua tu.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu, Lipumba hajakuteua wewe wala Intarahamwe yoyote yule awe msemaji wake.
Mkuu huyo Laki si pesa ana matatizo kama Nape hivyo mwache na upumbavu wake.
 
mbinu mpya ya kutuchonganisha wana ukawa,rudi kajipange.mwaka huu mtajaribu kila hila lakini mtachemka
 
Naungana na wewe hata kuwa upande wa umri dr slaa amezeeka sana hataweza kuwa kiongozi mzuri yasije kutukuta ya zambia.

mchalo mtamu Mbona SAUD ARABIA ndio style YAO? Mfalme aliyefariki alichukuwa Madaraka akiwa na Miaka 79 na alifanya Mabadiliko makubwa na Mazuri SAUDI ARABIA amefariki akiwa na Miaka 90

Mrithi wake ana Miaka 80...

Lakini Mbona hamumuongelei Maalim Seif Sharif Hamad? yeye sio spring chicken

Check this

Ibrahim Lipumba kazaliwa 1952

Dr. Slaa kazaliwa 1948

4 yrs Difference... ??? Kweli kuna issue here CHUKI NINI???

Hizi chuki zenu zitatuharibia nchi yetu salama...
 
Wana Jf wasalaam!
Likiwa joto la uchaguzi limeanza kupanda lakini kwa upande wa UKAWA bado wana mtihani mkubwa sana kumchagua atakaye wawakilisha kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Wana UKAWA wengi wamekuwa wakipendelea Mh prof .Lipumba apeperushe bendera ya UKAWA kwani kwa sasa ana mvuto ndani na nje ya UKAWA kuliko Dr Slaa ambaye anaonekana kulazimisha lazima agombee!

Wana Jf mwezi December nilipata nafasi ya kukaa na vijana kama kumi pale Tengeru na tulibadilishana mawazo kuhusu siasa za Tanzania na wengi walijikita kujadili nani anafaa kugombea Urais kati ya Lipumba na Slaa hapa ndio ubishi ulipo anza na wengi walitaka Slaa apumzike wakisema Lipumba ndio anaye faa kipindi hiki kama wanataka kuchukua nchi na atawasaidia kufuta zile propaganda za udini.

Lakini wengine walishikilia msimamo kuwa hata kielimu Lipumba anamzidi Slaa kwani Slaa hana Elimu yeyote zaidi ya kusomea dini na Ikulu hatupeleki kiongozi wa dini kwakweli kwenye hili walibishana sana wengi wakisema Elimu ya Slaa haitambuliki kimataifa na si mtaalam wa jambo lolote.
Kuna mwingine aliendelea kusema kuwa Slaa hafai kugombea Urais maana amekuwa akichochea migogoro ndani ya chama chake na kuwagawa wanachama kwenye makundi!

Wengi walikuwa wana sisitiza kuwa patachimbika kama Lipumba hatopitishwa na hakutakuwa na maelewano kwenye hilo na wakasema Lipumba asipopitishwa kura zao watampa mgombea wa CCM kama walivyo fanya 2010!

Wana Jf joto la uchaguzi liliendelea nilipo pata safari ya kwenda Tanga nilipita mtaa fulani pale Tanga mjini na hapo nilikuta wakijadili siasa kwa upana na wengi walionekana kuunga mkono UKAWA na walikuwa wanasema wana furahishwa na mwenendo wa UKAWA lakini wana kerwa nakampeni za chinichini zinazo fanywa ili kumpitisha Slaa kugombea Urais.. na wengi walikuwa wakiongea kwa jaziba huku wakisisitiza kuwa mipango ya kumpitisha Slaa kugombea Urais hazito kubalika na patachimbika kabisa siku hiyo na hawatoburuzwa na mtu...
Kuna kijana mmoja alisema kuwa wao kama UKAWA wana mhitaji Lipumba lasivyo patachimbika ..maana wanaona dalili za mizengwe! Pia alisema ana kerwa na baadhi ya viongozi wao kuwatuma vijana wao kwenye mitandao ili wawapambe na kuwapigia campaign wakati muda bado....na aliendelea kusisitiza kuwa "kama chadema wanataka kuwajua CUF ngangari kwa vitendo wajaribu mizengwe".

Kwakweli wana Tanga walionekana wenye imani kubwa na Lipumba na walisisitiza kuwa ni wakati sasa Mchumi huyo kuiongoza nchi hii!

Karibuni wana jamvi!

Matap tapu ya lumumba hayo yamekuathiri.
 
Is this how we argue? Astonished!! If a person is aged and sick in bed can be elected to be President Why not Dr. Slaa. But is Slaa that much old that cannot lead? Both of them can lead but who will be proposed by the opposition? Let us not write and argue ignorantly just to make people laugh and say bad things over others simply because of personal interests. God will judge each one's deeds whether good or bad. Let MORAL values guide us guys.

Very sure...
 
Sipingani na elimu ya Prof. Lipumba kwa maswala ya uchumi. Ila nisingempendekeza awe mgombea wa urais, kwani kwa miaka karibu 20 amegombea kwa CUF na hajaambulia kitu. Ukawa haiwezi kumbeba.

Lakini pia sijahau bado ule mkanda uleletwa hapa akitubia katika msikiti mojawapo. Hotuba iliyoonesha mwelekeo wa udini asilimia 100. Hilo ni hatari kwa usalama wa nchi na amani yake.

Hatutaki raisi ambaye atakuja kuhalalisha tukachomewa makanisa yetu kama wafanyavyo huko kwa wenzetu. Makanisa tumeyajenga kwa jasho la senti ya maskini. Mtuache tuabudu kwa amani.

Mgombea urais anayesema 'sasa ni zamu yetu', au 'sisi (waislamu) tumeonewa', hatufai.

Kwangu mimi haijalishi mgombea wa dini gani, ila asitangulize udini. Tunamtaka mgombea mcha Mungu. Haijalishi anaabudia wapi. Ila awe mcha Mungu. Tunamtaka mgombea anayeheshimu dini za wenzake, iwe ni ya kuabudu chini ya milima, mito, au miti mikubwa. Ila asiwe waabudu mashetani, maana hao hata katika tamaduni zetu hawapo. Wanaingia kwa sababu tu ya biashara, kupata hela ya haraka. Sijui wanapataga?

Kuhusu hotuba hiyo aliyotoa Prof. Lipumba, msiniulize, mkitaka waombeni MODs watuwekee tena hapa. Maana ilikuwa Jukwaa la siasa mwaka jana au juzi.

Kwa sababu hiyo tu nasema kuwa rais hafai, labda waziri wa fedha kwa taaluma yake.
 
Mgombea wa UKAWA hawezi kuteuliwa na vijana wa lumumba bali na wana UKAWA. Over
 
Wakuu Pamoja Kuwa Mimi Ni Mwanachama Mtiifu Wa CHADEMA Mwenye Dhamira Ya Kweli Ya Kuikomboa Nchi Hii Lakini Simwoni Dr Slaa Kama Mkombozi Wa Kweli Nchi Yetu Ina Ugonjwa Wa Uchumi Ulosababishwa Na Virus Aina Ya Ulafiwaviongozi Na Tiba Halili Ya Virus Hivi Ni Prof Wa Uchumi Alobobea Duniani Prof. Lipumba Cdm Tuachane Na Dhana Kuwa Sisi Ni Bora Kuliko Wapinzani Wote Bali Tuangalie Alie Bora Kwa Watanzania Wote

Lugha na matendo yako vinaonesha ww hujawahi ,si, na hutakuja kuwa chadema hata siku moja kafie mbali mwana kwenda wewe
 
mchalo mtamu Mbona SAUD ARABIA ndio style YAO? Mfalme aliyefariki alichukuwa Madaraka akiwa na Miaka 79 na alifanya Mabadiliko makubwa na Mazuri SAUDI ARABIA amefariki akiwa na Miaka 90

Mrithi wake ana Miaka 80...

Lakini Mbona hamumuongelei Maalim Seif Sharif Hamad? yeye sio spring chicken

Check this

Ibrahim Lipumba kazaliwa 1952

Dr. Slaa kazaliwa 1948

4 yrs Difference... ??? Kweli kuna issue here CHUKI NINI???

Hizi chuki zenu zitatuharibia nchi yetu salama...

Afu ww jamaa unaonekana unajua mambo mengi sana ya nchi, hongera
 
Back
Top Bottom