The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,747
- 18,504
Ruttashobola Wewe si ni katibu wa (W) wa CCM.
Tangu lini adui akakuchagulia silaha ya kumua? Acheni VIOJA nyinyi vijana wa Lumumba.
CCM wanamuogopa sana Silaa .......................... leo Ruta naye anajifanya UKAWA. Naona alipitiwa, akajiasahau kubadilisha ID kabla ya kupost. Silaa wala hajasema atagombea lakini wao kila kukicha wao na Slaa tu ........ Poor Ruttashobolwa ..................... Lumumba mna kazi kweli kweli!!
Last edited by a moderator: