Hii Ni Ishara Njema Ya Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli Wakuu Wana Wa Nchi Msiwashangae Vibaraka Wa Ccm Kuja Na Uzi Huu Kupima Upepo Hawa Watu Wajanja Sana Wanachojua Ni Kuwa Lipumba Akiungwa Mkono Na Cdm Na Cuf Na Nccr Habari Yao Imekwisha Sasa Wanachotaka Ni Kujua Kuwa Je Cdm Watamkubali Lipumba? Na Kwa Mujibu Wa Majibu Ya Mchango Wa Wana Cdm Washajua Kuwa Cdm Hawamtaki Lipumba Na Huu Ni Ushindi Kwao Wakuu Slaa Hawezi Kupata Kura Za Wapemba Lakini Lipumba Anaweza Kuzipata Za Pemba,unguja,karatu,moshi Na Hata Kigoma Ambapo Wana Chuki Na Slaa Kutokana Na Migongano Yake Na Zito Naamini Kuna Waislamu Wa Ccm Watampa Lipumba Kura Lakini Kama Membe Au Mkirsto Yoyote Atasimama Kwa Tiketi Ya Ccm Hakuna Mkirsto Wa Ccm Atakae Mpa Slaa Kura Tusome Nyakati Wapinzani Tusiende Kama Mang'ombeeee
Wewe unaongelea UDINI.
Ingekuwa kama unavyofikiri JK asingepigwa chini na Dr. SLAA 2010 mpaka akachakachuwa kura. 2015 ndo mwisho wenu Magamba.