REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,450
- 9,373
uzi huu maalum kwa wana ndoa au watu wanaoishi na wenzao ,nmekuja kuuliza maana leo katika pita pita zangu mtaani nipo sehemu nikaona mdada ana lalamika kuwa kachoka na baba boke maana baba boke kila siku anataka ana mshauri wapange kuwa kwa wiki iwe hata mala moja aliposema mala moja mwenzake akastuka akasema wafanye hata mala mbili ,mwenzao mwingine akasema wafanye mala tatu ,mpaka naondoka eneo la tukio nikaacha mjadala nikasema ngoja niulize wadau eti ili ionekane unamtendea haki mwenzio kwa wiki inaitajika mala ngapi