Jamaani Stone... Nijibu hebuDuhhh.....![]()
![]()
![]()
Ebu ngoja nisikujibu kwanza..![]()
AiseeHuyo mara moja kwa week halaf me akiwa na mchepuko huko unalia lia
Mkuu....Ulikuwa unawachungulia eenh

Hata ninyi msio wana ndoa mkuje mchukue yote mazuri hapa na mabaya myaachie humuhumu....![]()
![]()
Nakusalimia maana kitambo sijakutia machoniHaha
Umenishinda tabia
HapanaMjibu jaman teh teh
Sawa mkuuHata ninyi msio wana ndoa mkuje mchukue yote mazuri hapa na mabaya myaachie humuhumu....![]()
![]()
KabisaNdoa inachangamoto nyingi sana, hasa mnapokuwa na familia.
Inafika wakati Mwanaume anawaza hili, mke nae anawaza lile...mke na mme wanalala kitanda kimoja lakini wanachokiwaza usiku kila mmoja ni mbingu na ardhi.
Kubali tu kuwa kulingana na majukumu ya mwanaume kuhusu familia inafika wakati hata hisia za mapenzi zinapungua....ila sio kwa mchepuko..
Dogo hiyo kitu inategemea ndani kama pana furaha!! Kama hamna hata mwezi mtamaliza na hakuna shida. Pia inategemea na upya wa ndoa yenyewe !! Mwanzo mambo hua motomotouzi huu maalum kwa wana ndoa au watu wanaoishi na wenzao ,nmekuja kuuliza maana leo katika pita pita zangu mtaani nipo sehemu nikaona mdada ana lalamika kuwa kachoka na baba boke maana baba boke kila siku anataka ana mshauri wapange kuwa kwa wiki iwe hata mala moja aliposema mala moja mwenzake akastuka akasema wafanye hata mala mbili ,mwenzao mwingine akasema wafanye mala tatu ,mpaka naondoka eneo la tukio nikaacha mjadala nikasema ngoja niulize wadau eti ili ionekane unamtendea haki mwenzio kwa wiki inaitajika mala ngapi
Safi sana.Hapana
Niko na mume mtarajiwa humu
Una akili sana weweInategemea na mvuto wa mwanamke
Nigawie huku mkuu