Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Kula bunya, mazingira yakiwa sawa, usijefungua mafaili ya ajabu humo
 
Baada ya kumaliza kusoma huu uzi, nikagundua yafuatayo kutoka kwa baba Bhoke.
1- Baba Bhoke hafanyi maandalizi kwa mkewe wakati wa tendo la ndoa, hivyo mama Bhoke anaamua kumpa mumewake hata kama hana utayari.
Hali hii imemfanya mama Bhoke asifurahie tendo la ndoa na kiuhalisi, mama Bhoke amekua akibakwa na Baba Bhoke.
2- Baba Bhoke hajatenga muda wa kumrairai/kumpetipeti mama Bhoke na badalayake baba Bhoke anadhani anamtosheleza mkewake kwasababu anamtimizia kila anacho kihitaji.
3- Mama Bhoke hapati muda wa kusikilizwa na Baba Bhoke, na hii humfanya mama Bhoke ajione kama chombo tu cha kutumika kingono na mumewe hata kama pengine anamahitaji yake ya msingi kama mke.
 
Binadamu tunatofautiana sana hivyo ni bora kukubaliana na mwenza wako ili wote muweze kufurahia tendo la ndoa
Bahati mbaya sana wanaume wengi tumesahau kwamba tendo la ndoa ni hitimisho la fura ndani ya ndoa.
Na tendo la ndoa sio hitaji la msingi/muhimu kwa mwanamke, ndiomaana wanaume tunajukumu la kuwaandaa wake/wenza wetu kwasababu tendo la ndoa ni hitaji la msingi/muhimu kwa mwanaume
 
Niratiba yenu tu ila inapendeza iwe wazi ili kuruhusu maandalizi ya kutosha kw wote.
Kiwango cha juu ni mara 3 KW wiki mpaka ma1.
Kuna faida ya Mara 1 mwenzi wako akisafiri kuumwa na n.k unahimili ,pia ibada inatakiwa ya kweli siyo mmoja ndio anapekua ukurasa wa somo mwingine yupo amina.pia Mara moja hamchokani
 
Mkuu ungeuliza kwa ujumla au ungeshaur mara ngap kwa wastan, mana humu kuna wasio wanandoa ila wamewazd wanandoa kwa mbali sana, hata wenye wake wanne hawawakuti
 
Baada ya kumaliza kusoma huu uzi, nikagundua yafuatayo kutoka kwa baba Bhoke.
1- Baba Bhoke hafanyi maandalizi kwa mkewe wakati wa tendo la ndoa, hivyo mama Bhoke anaamua kumpa mumewake hata kama hana utayari.
Hali hii imemfanya mama Bhoke asifurahie tendo la ndoa na kiuhalisi, mama Bhoke amekua akibakwa na Baba Bhoke.
2- Baba Bhoke hajatenga muda wa kumrairai/kumpetipeti mama Bhoke na badalayake baba Bhoke anadhani anamtosheleza mkewake kwasababu anamtimizia kila anacho kihitaji.
3- Mama Bhoke hapati muda wa kusikilizwa na Baba Bhoke, na hii humfanya mama Bhoke ajione kama chombo tu cha kutumika kingono na mumewe hata kama pengine anamahitaji yake ya msingi kama mke.
Ulikuwa unawachungulia eenh
 
Inategemea na mvuto wa mwanamke
Kama mwanamke hakuvutii, kwaniniuponae...!!
Yani kwanini umuoe mwanamke ambaye hakuvutii...!?
Kama ukiwa ama ukioa mwanamke ambae hakuvutii, hauoni kama utakua kama umejitwisha zigo la mavi...?

Aiseeeee......
Mdomowangu umebaki wazi...
 
Akienda mwezini ndio pona yake, tofauti na hilo ni kila siku na kila baada ya masaa 3
 
Sisi tunaweza kupitisha hata wiki mbili ila tukikutana ni show ya nguvu na kusepa na kijiji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom