Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Sam boy umeongea bonge la point!2pangepange basi.viavia naona ipo poa
 
Safi sana....

Nimefurahi kumwona mwenyekiti mwenyewe ndani ya nyumba...

Nilitaka kuwauliza wadau wangu ukweli wa A-wing, kwamba; kondoo wa huko wamekosa mchungaji??

Ila kwa kuwaona Mama wa Malogistic Preta na Mkuu PakaJimmy sina swali tena...nasubiri maelekezo kwa ajili utekelezaji...

Kutuma mwakilishi ni muhimu sana....

Ila naomba tufanye in the old way...wengine dotcom inatupeleka speed!
 
Last edited by a moderator:

Babu naomba unihakikishie kama unajua kuogelea..........mambo ya mwaka huu ni mapya sana........
 
Last edited by a moderator:
Babu naomba unihakikishie kama unajua kuogelea..........mambo ya mwaka huu ni mapya sana........

Hahahahaahaha...ngoja nimuulize Bibi kama yuko tayari kuishi pake yake kuanzio siku utakayonirusha kwenye maji...!!

Wenzio tulizoeshwa kwamba vinavyotembea kwenye maji ni samaki na chura....!!

Ila kama ndiyo mipango yenu ya kumweka pembeni Babu basi mmeshashinda...nitawatumia timu ya wajukuu!!
 
Tatizo lenu watu wengine.......kwenye keyboard mpo shupavu kweli.......njooni sasa live........mnaingia mitini.......hebu tusichoshane bila sababu........
 
Back
Top Bottom