Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,801
- 110,016
Naunga "mukono" hoja
Sasa hivi tunahitaji miguu, mikono imetosha...
Naunga "mukono" hoja
Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na tupendekeze muda maalumu.
Karibuni
Mkuu! Mbona kama unaonekana ni mzoevu sana hapa jamvini halafu Mi naona kama umekuja na thread ambayo haina mvuto hata kidogo???????????????
Ina maana miaka yote Arusha wing tunakutana wewe leo ndiyo unakuja na mawazo yako mafupi hapa? Bila shaka mpaka sasa umeshapata maelezo toka kwa wakuu hawa ya kwamba kama unataka maongezi zaidi wasiliana na PakaJimmy Preta Mzee wa Rula Arushaone na wengine wengi walio hai Arusha wing member.
Karibu sana!
Wakubwa wangu Arushaone, Filipo, LiverpoolFC, Mzee wa Rula Blaki Womani 'Valentina' IGWE Lily Flower
Mko wapi arifu, amkeni huko, niaje niaje machalii ya 'R' yameleta ishu jombazaangu.
Kama vp tukutanie pale chobingo , konaa kwa Mama Kurwaa.
Tatizo lenu watu wengine.......kwenye keyboard mpo shupavu kweli.......njooni sasa live........mnaingia mitini.......hebu tusichoshane bila sababu........
mamito mzima wewe
vikao mara nyingi watu wanashindwa kuhudhuria kutokana na mahangaiko hapa na pale
tupendekeze venue hapa......Carnival au tembo club siku iwe kabla au baada ya kwaresma
Binafsi napendekeza Carnivore ........
Hewalaaa wewe kweli wajua...
Karibu Dr.......
Naungana na PakaJimmy haya mambo yajadiliwe kwenye kikao kinachohusika na huko mapendekezo ya sehem yatapatikana tutajua kama ni kisongo au moshono au sakina au ilboru au olasiti
cc Preta, LiverpoolFC, Arushaone, Erickb52 Blaki Womani 'Valentina', Sam Boy, Lily Flower, Crashwise; @st.paka mweusi
Mimi ni member wa JF kwa siku nyingi ila mahudhurio yangu ya kwenye mtandao hayako active kwa sana kutoka na mazingira ya kazi na pilika zakimaisha. Arusha wing wameisha kutana mwaka huu? Na kama bado je wanategemea kukutana lini? Arusha wing wameishawahi kufanya kitu kama alichopendekeza sam Boy?
Dar wana ya mwezi wa 6........?
Naungana na PakaJimmy haya mambo yajadiliwe kwenye kikao kinachohusika na huko mapendekezo ya sehem yatapatikana tutajua kama ni kisongo au moshono au sakina au ilboru au olasiti
cc Preta, LiverpoolFC, Arushaone, Erickb52 Blaki Womani 'Valentina', Sam Boy, Lily Flower, Crashwise; @st.paka mweusi
Binafsi napendekeza Carnivore ........
Naungana na PakaJimmy haya mambo yajadiliwe kwenye kikao kinachohusika na huko mapendekezo ya sehem yatapatikana tutajua kama ni kisongo au moshono au sakina au ilboru au olasiti
cc Preta, LiverpoolFC, Arushaone, Erickb52 Blaki Womani 'Valentina', Sam Boy, Lily Flower, Crashwise; @st.paka mweusi
Duh mbona umenishikia bango hivyo Blaki Womani naomba tarehe apendekeze Preta
sijakushikia bango kaka yangu kipenzi......kikao cha mwisho kuhudhuria ilikuwa lini vile? Preta umemsikia kaka mkubwa