Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,476
- 16,188
Ifanyike dodoma hata sie wa karagwe tuwepo!mkimaliza mikoa yote mfanye JF PARTY KITAIFA
ila isiwe kpindi cha vikao vya bunge, tusije porwa warembo wetu bure na akina nanihiiiiii!
Ifanyike dodoma hata sie wa karagwe tuwepo!mkimaliza mikoa yote mfanye JF PARTY KITAIFA
Man, are you really in existence or you were just making fun of yourself?...kama upo tafadhali simamia bandiko lako bana...vinginevyo utakuwa umetuvuruga na kushusha heshima yako sana, and we may decide what to do over you.Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na tupendekeze muda maalumu.
Karibuni