Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Golden Rose hujatupeleka......chagua sehemu nyingine.....

Lol, kwanza pale mtafanyia wapi, kwenye maukumbi yao ama? kijana kanifurahisha, katika masehemu yoteee hapa mjini kaona golden rose?
 
Itakuwa rahisi watu kuweza kupropose venue kama tukishafahamu ni vitu gani tunavyovihitaji kwa siku hiyo.
Mfano, kama tutahitaji kuwa na barbeque then we need a venue with an open space like Olasiti, Lush, sundowner, viavia. Kwa in door I am sure kumbi ni nyingi. Jambo la kwanza lingekuwa ni kujua tutakuwa wangapi na tunataka nini ili kuweza kutengeza budget kufuata na mahitaji yetu.
 
Hebu niambie wakwetu. ......ni send off tunaenda. .....khaaa!!!!
 
Itakuwa rahisi watu kuweza kupropose venue kama tukishafahamu ni vitu gani tunavyovihitaji kwa siku hiyo.
Mfano, kama tutahitaji kuwa na barbeque then we need a venue with an open space like Olasiti, Lush, sundowner, viavia. Kwa in door I am sure kumbi ni nyingi. Jambo la kwanza lingekuwa ni kujua tutakuwa wangapi na tunataka nini ili kuweza kutengeza budget kufuata na mahitaji yetu.

Sasa hapa tunaweza kujadili....mimi naona sundowner carnivore ndio pahala.......eheee. ....
 
naunga mkono hoja
 
Sundowner pako poa. Kama vipi tufahamu idadi yetu halafu tugawane majukumu. Mtoa hoja Sam Boy unasemaje?
Sasa hapa tunaweza kujadili....mimi naona sundowner carnivore ndio pahala.......eheee. ....
 
Sundowner pako poa. Kama vipi tufahamu idadi yetu then discussion on mahitaji which will help kupata budget . Mtoa hoja Sam Boy unasemaje?
Sasa hapa tunaweza kujadili....mimi naona sundowner carnivore ndio pahala.......eheee. ....
 
Michangoo inahusika mnapropose venue tu
 
Au kama vipi tufanye pool party......tubadili upepo kidogo......ni vile tu hatuna beach......nkt.....
 
Back
Top Bottom