Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
njooni apa milano ungalimi,asubuhi tutamwagia maji vumbi halitakuwepo!
 
Wewe ndio umepotea hasa.......au tuje huko kwako nini.......
Hebu wadau semeni.......
Cc PakaJimmy.... Blaki Womani.... Filipo..... Arushaone..... Lily Flower...... Erickb52...... Valentina..... Tonykp.....et all.......
Vipi tukizuka kwa Eeka Mangi......!!!

Karibuni sana,,,,, kama vipi tunaenda Maji Chemka Rundugai! Swimming kwa watakaotaka, kupata massage za samaki kwa watakaopenda zinapatikana! We nambieni tu niandae!

Cc Preta.... PakaJimmy.... Blaki Womani.... Filipo..... Arushaone..... Lily Flower...... Erickb52...... Valentina..... Tonykp
 
Ndio hiyo sasa nilikuwa nataka kusikia.......ila hiyo fish massage usiipende sana.......si unajua hali zetu za afya.......vinang'atang'ata fulani hivi........

Sis una mauzoefu! Dah haya tuwasubirie wakuje waseme ka watakuja!
 
Dr una visa wewe....

Dr hapo hepatitis C nje nje......kando na ngwengwe........aku mie......

ImageUploadedByJamiiForums1391774146.197102.jpg
 
Haya Preta na mwenzio Sam Love tupeni maendeleo...hivi mnajua kwamba tuko serious?
Sasa kama mnashindwa kuanzisha vikao semeni ili Wing iingilie kati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom