Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Na sie wa rukwa tuandae yetu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Wakubwa, acheni mambo ya ajabu, ulizieni jinsi ya ku'handle haya mambo kama mpo wageni watupu.

Masuala ya Venue si ya haraka namna hiyo.

Hayo yataongelewa kwa undani siku ya kikao, ...this is Chuga-place, mind u!!!, mtaanzaje kureveal eneo la tukio kabla?

Cha msingi mleta mada, hatua ya kwanza fanya mpango wa kuandaa kikao watu wajadili maandalizi.

Ni ushauri tu.
 
Mleta mada mshirikishe kwa ukaribu Preta maana yeye, ukiacha ukweli kuwa hii ni pr○f€$$!○ yake, pia ni 'mubaya' kwenye mambo ya Logistico.

Fanyeni mchakato mtupe matokeo bana.
Hatukubali sie kila siku kusikia IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
sijui P.o.Box za nininini sijui....,
 
Last edited by a moderator:

He he.......mkuu sasa hivi tunataka tuogelee.......leta venue.......
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada mshirikishe kwa ukaribu Preta maana yeye, ukiacha ukweli kuwa hii ni pr○f€$$!○ yake, pia ni 'mubaya' kwenye mambo ya Logistico.

Fanyeni mchakato mtupe matokeo bana.
Hatukubali sie kila siku kusikia IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
sijui P.o.Box za nininini sijui....,

Naungana nawe
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Umenena mkuu.. Yaan na subiri location tu, nimstue 'mama~yoyo' tuZUKE chuga sHARP.
 
duuuh!!hiyo party fanyeni november
au december, wengine mtatukosesha uhondo!!
 
Niko tayari kuhudhuria sehemu yeyote ndani ya Arusha hata Karatu,binafsi nadhani iwe ni Special zaidi,tufanye day trip to Ngorongoro na kupata 1 night pale Karatu then next day back to Arusha/Moshi. Tutakuwa na muda mzuri zaidi wa kufamiana,hii idea inaweza kuwa Weekend.!
Kama mtakuwa interesting nipo tayari kutoa mchango wangu wa hali na mali wa namna ya kuifanikisha hiyo kitu mazee..!@!

NB: Tunaweza fanya hii kitu kipindi cha weekend ya Pasaka Ijumaa kuu na kuendelea.
 
Back
Top Bottom