Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
kweli shosti, watu tunataka kuboresha mahusiano sio kuleta upimbi humu. hivi huoni kuna dalili yza hii thread kuchakachuliwa?

Naona Mode wameanza na kuzifungia mada zilizokuwa zimekosa Kichwa waala Miguu......

dalili nimeiona hasa Hamisi alivyotajwa LOL!!!!
 
hilo nalo neno. mi ndio maana jukwaa la siasa siendi kule, acha tu nionekane sina malavidavi na nchi yangu.
Husninyo na lara 1 wala huwezi kuboreka wala kukasirika na vutu vya online
Tatizo kuna watu wanategemea hizi hizi online kujifunza mambo mengi sana na ndo maana wengine wanauliza na kutaka kupata ushauri sio kwamba hawana sehem ya kuuliza ila jamii nazo tunazoishi ni majanga mengine unaweza kama (samahani ni mfano tuu) lara 1 nakuja kwako nina tatizo langu badala ya kunishauri nikalikuta mtaa wa saba tayari wanajua kuwa nina tatizo hili na hili so mtu anaamua bora aje hapa na jina la bandia niseme nina issue hii na hii may be kupitia humu naweza pata ushauri japo kuna watakaotukana na watakaodharau au watakaokejeli ila miongoni mwa thread zote kuna msamaria mmoja atatoka na ushauri wa maana
 
Last edited by a moderator:
Na sasa yamekuwa mazoea ya watu humu kuandika risala kama hizi za kutoa wito wa kuacha kubandika mambo ya kipuuzi puuzi lakini wapi.

Kila baada ya wiki chache kunatokea mtu anaandika risala. Anapongezwa, anapewa ma-likes bwerere, halafu hakuna la maana linalotokea.

Watu hao hao waliompa ma-likes ndo unawakuta wanachangia hizo hizo mada zinazodaiwa kuishushia hadhi MMU.

Ubinadamu kazi!!

:A S shade::dance:
 
Wakiambiwa kwa pm wasipoacha???? Wachapwe mikwaju 12 LOL!

Watu wajifunze kutokwazika na tuvitu twa online! Ukikwaza usisome tena thread za mtu huyo! Mi sisomi thread za mpole sana coz anasifia sodomy! Najua atanikwaza

Kiroho safi lakini mimi ni shabiki maandazi wa hii mada! Nakazia tu juu ya comments za watu!

Bado hamjatoa suluhisho

sioni umuhimu wa kutafuta suluhisho hapa , binadamu tumeumbwa kutofautiana kimawazo na kipimo cha utu ni uvumilivu.........

mtu kama kiatu ni kidogo kwako au kikubwa kwako huna haja ya kukivaa.........

cha muhimu ni watu kuepuka personal attacks , na hili lipo wazi kwa sheria za jf ......unapaswa kumripoti , mahakimu (mods) watatenda na kuhukumu inavyostahili.
 
Sawa watu wazima wanaweza kuwa wengi.
Hivi ushawahi kufikiria kuhusu watu wazima "HOVYOOOO"???!!
Humu wamo saaaana tu, ukifuatilia mabandiko yao utawajua tu.

Wapo wengi sana wasiojielewa........Not to mention the names lol!!!!!!!!!!!!

maana leo kuna mtu sehem alimwambia mtu wewe ni mkongwe lakin ulivoviandika

haviendani hata......alimmaiindi huyo alivyosema vile lakin that was the fact!!!!!!!!!

cc kinyoba
 
Last edited by a moderator:
mkuu , mimi nadhani asakuta same au Mentor au Himidini au Madame B tukileta upande negative wa ndoa ni jukumu lako wewe au lara1 au gfsonwin au snowhite au Mtambuzi kusemea upande positive wa ndoa kwenye huo mjadala mwisho wa siku wasomaji wanapata mazuri na mabaya humo humo ili kujifunza vizuri.......... na hii mijadala ipo hivi hivi toka kitambo mkuu.

hivyo hivyo mtu akija na mada ya kuwasema vibaya wanawake ilihali wewe una mke mzuri , dada mzuri na mama mzuri sana aliyekusimamia kwenye maisha ,,,,, inakuwa ni jukumu lako kuwatolea sifa nzuri nzuri humo mwisho wa mjadala tunakuwa tumepata pande zote mbili za shilingi

Mkuu kama umekuwa msomaji na mpitiaji mada humu hizo topic hata za kusema au kuelimishana mambo kama hayo hazipo siku hizi ni majanga tuu humu kwa sasa na sana sana tunaishia kulishwa magarasa tuu ya thread ambazo unajiluza hapa niseme nini sasa
 
Basi itakuwa Ticha ! Manake ndo hao tu wananiteteaga! Ila alisema vile coz mtu alinitukana mimi personally sio mada of which was not fare too. Hakusema mada anaiunga mkono but mtoa mada mitusi sikuistahili. Lol!

Lara, hivi unadhani ningeona huyo jamaa amekutukana ningeandika haya? jamaa alikukosoa kama wengine wanavyokukosoa na huwa unawaweka sawa, na nina hakika hata huyo jamaa ungemuweka sawa ila ulivyoona kesi imenunuliwa ukaendelea na mada, jamaa hakutukana jamaa alikosoa! kilichonikera zaidi angekutetea kinamna nyingine, sio kusema "kwenye mazingira halisi hayupo hivyo,na umkome kabisa na blah blah nyingine, ina maana coz anakujua wewe kiuhalisia basi ukiteleza/ukifanya ngetwa usiambiwe/kusolewe? mie mwenyewe ni msomaji mzuri sana wa threads zako, napata mapya ya maisha ya mapenzi ya kisasa, nina mengi ya kukukosoa lakini naelewa msimamo wako upo wapi nahisi kama hututaelewana, na huwa napenda sana unavyojua kujikinga na wanaokukosoa, mie nikikosolewa/semwa sana nina hasira naweza mtukana mtu nikapigwa ban, ndio mana nikiona siendani na mtu ni bora nimtupe kwenye ignore list, kama sasa member mmoja yupo huko, Lol! kama ume note thread zako mie nasoma then nitam qoute mtu ninaeona tuna misimamo fulani then nitasema neno, siku qoute wewe exactly coz najua una misimamo yako, na pia naona hutapenda kuisimamisha/badilisha hiyo misimamo, kwa hiyo huyo mama angeacha wewe umalizane na jamaa kama unavyomalizanaga nao, unajua jinsi ya kuwajibu na huwa kinaeleweka kabisa.
 
Naona Mode wameanza na kuzifungia mada zilizokuwa zimekosa Kichwa waala Miguu......

dalili nimeiona hasa Hamisi alivyotajwa LOL!!!!

hahahahaha, naona hamisi ameshabadilika maana angekuwa kashaanza uchokozi wake. tuimbeni mapambio sasa.
 
Husninyo na lara 1 wala huwezi kuboreka wala kukasirika na vutu vya online
Tatizo kuna watu wanategemea hizi hizi online kujifunza mambo mengi sana na ndo maana wengine wanauliza na kutaka kupata ushauri sio kwamba hawana sehem ya kuuliza ila jamii nazo tunazoishi ni majanga mengine unaweza kama (samahani ni mfano tuu) lara 1 nakuja kwako nina tatizo langu badala ya kunishauri nikalikuta mtaa wa saba tayari wanajua kuwa nina tatizo hili na hili so mtu anaamua bora aje hapa na jina la bandia niseme nina issue hii na hii may be kupitia humu naweza pata ushauri japo kuna watakaotukana na watakaodharau au watakaokejeli ila miongoni mwa thread zote kuna msamaria mmoja atatoka na ushauri wa maana

mkuu umesomeka sana. tupo pa1.
 
Last edited by a moderator:
601535_10201204337087792_1713069786_n.jpg
 
Wapo wengi sana wasiojielewa........Not to mention the names lol!!!!!!!!!!!!

maana leo kuna mtu sehem alimwambia mtu wewe ni mkongwe lakin ulivoviandika

haviendani hata......alimmaiindi huyo alivyosema vile lakin that was the fact!!!!!!!!!

cc kinyoba

Besti na nyie mliungana na mkosoaji au mlimute tu aendelee na sogombingo peke yake?
 
hahahahaha, naona hamisi ameshabadilika maana angekuwa kashaanza uchokozi wake. tuimbeni mapambio sasa.

:clap2::clap2::clap2:Kabadilika aisee maana hapa mnekuwa mmechokozana sana........

halafu mbona tunaosoma na kuchangia mada hii ni wale wale au watu wengine haijawagusa

maana mi naifatilia tangu page ya kwanza niwe nasoma views za watu tofauti tofauti

cc Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama umekuwa msomaji na mpitiaji mada humu hizo topic hata za kusema au kuelimishana mambo kama hayo hazipo siku hizi ni majanga tuu humu kwa sasa na sana sana tunaishia kulishwa magarasa tuu ya thread ambazo unajiluza hapa niseme nini sasa

ni kweli kuna mada humu zinakuwaga hazina mashiko , mpaka kuna siku nilishawahi kuandika mtu atakuja kuomba ushauri hata kiatu kikimbana,,,,,,,,,,,, msingi wa hoja zangu mimi umeegemea hapo kwenye suluhisho lako ulilolipendekeza........

ngoja nitoe mfano labda,,,,,,,,, kukiwa kuna mada unaiona imekaa kipuuzi/kitoto unapita tu , na unaelekea kwenye mada iliyonamashiko mnaijadili mwanzo mwisho mwisho wa siku watu watajifunza kuleta mada nzuri na kuachana na mada zisizona kichwa wala miguu.........ila hili la kuanzaa kuwa polisi na mahakimu na wachangia mada hapo hapo jukwaani halifai,,,,,,,,, tujifunze kuvumiliana huku tukifundishana na siyo kutumia mamlaka tuliyonayo au kutaka watu tuwe na ufikiri wa aina moja.

kama mada imekiuka sheria za jf , hatua zichukuliwe mara moja ila kama haijakiuka ni vema tujifunze kuishi na tunaotofautiana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom