Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mgeni humu nahitaji marafiki maana naamini networking ni muhimu saana katika ulimwengu huu.
 
Wakuu kuuliza siyo ujinga

Hii MMU, MMU/CC ni nini hii? Ni vifupisho vya maneno gani? Je? VINANITENGA ki-kuchangia? nielimisheni naomba jamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom