Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Heheh
Zamani kulikuwaga na kale ka mtindo ka kuchakachua threads zisizokuwa na muelekeo . . .
Sijui kaalishia wapi!
naomba uninong'oneze id yako ya zamani. i swear sitomwambia mtu.
Heheh
Zamani kulikuwaga na kale ka mtindo ka kuchakachua threads zisizokuwa na muelekeo . . .
Sijui kaalishia wapi!
AshaDii umeongea na naomba nimwambie tena Husninyo hatuna nia ya kumtaja mtu wala kutaja thread ambazo zinaonekana kabisa hazina mshiko ila mwenye uelewa ataelewa tunamaanisha nini tunapoongea haya na sio kwa faida yang au yako ila kwa faida ya wote ambao ni member wa hili jukwaa na jukwaa jingine lolote.
Nia haswa ni kujua kuwa tunaingia hmu kufundishana na kupata uelewa wa mambo mengi na kujua hata kama niko mtaani ni wapi nimeenda wrong na wapi nirekebishe sio kwenda tuu kama kuku aliyekatwa kichwa
Avemaria ukichakachua thread ya mtu bado unaongeza comments kwenye thread yake na hapo ndo unaikuta iko page ya 10 kutokana na watu wataacha kuchangia mada wataanza kuchangia ule uchakachuzi
Basi itakuwa Ticha ! Manake ndo hao tu wananiteteaga! Ila alisema vile coz mtu alinitukana mimi personally sio mada of which was not fare too. Hakusema mada anaiunga mkono but mtoa mada mitusi sikuistahili. Lol!Ohh plzzzzz Lara, Kaunga ni mdada ninaeenda nae sambamba sana humu jukwaani, napenda michango yake haswaa, na hajawahi kunikera hata kidogo na kuna watu na watu ninaweza kupishana nao maneno humu ndani na nikaingia PM kuwekana sawa na mambo yakasonga, mmoja wa watu ninaoweza kufanya hivyo ni Kaunga, soo plz hausiki hapa hata kidogo! namheshimu Kaunga sana sana! ohh yes ni mada uliianzisha wewe! na sichukii mada zako kabisa, hayo ni maoni yako wewe, huyo mdada/mmama ndio alienikera kwa kufanya kukutetea kwamba anakujua kiuhalisia sijui haupo hivyo, na blah blah, jamaa aliekukosoa labda hamjuani/fahamiani haruhusiwi kukukosoa? kuna wanaokukosoa wengi humu na unawaweka sawa, sijaona tatizo hapo, ishu ni huyu mama kuingilia, ungejibu wewe kama nilivyozoea kukusoma ukiwajibu isingenipa shida hata kidogo.
Husninyo:Hapo tu mimi...hoiii.Kweli hizi mada zenye mashiko zina wenyewe....LOL.ila mi nasema aunt msiseme ni under 18. kuna watu wazima humu ila akili za kitoto na wapo watoto wamekomaa akili. best optn ni kuwaelimisha tu badala ya kuwashambulia hao. halafu nimekumiss kiukweli ukweli.
MC Umeongea vitu muhimu sana ktk kuboresha hili jukwaa!
Thanks!
Lakini umeegemea sana, sana, sana kuwatetea memba wakongwe!!!! Ni kweli memba wapya hujisahau sana! Ila memba wakongwe wanaongoza kwa kuchati!!!!!
Vile vile, wanadharau ya hali juu! Ngoja nikupe mfano hapa! Unamkuta kwa vile yeye kajiunga mapema, bila shaka ameshaona mada nyingi zikijadiliwa, hivyo basi akikuta mada yenye content kama ile, badala ya kutoa mchango unaufaa (hata kueka link) yeye anakejeli na kujiona anajua kila kitu! This is not fair!!!!!!!
...
kuna watu upeo wao ni mdogo na hawajui kama wanakwaza watu. vizuri basi wawe wanaambiwa hata kwa pm basi.
naomba uninong'oneze id yako ya zamani. i swear sitomwambia mtu.
ila mi nasema aunt msiseme ni under 18. kuna watu wazima humu ila akili za kitoto na wapo watoto wamekomaa akili. best optn ni kuwaelimisha tu badala ya kuwashambulia hao. halafu nimekumiss kiukweli ukweli.
Zamani tulikuwa na kampeni. Thread ya kitoto tunaipotezea mazima. Kama hakuna thread ya maana basi tunachagua thread moja ya kitoto tunanachakachua kwa kupeana michongo ya ulabu na kusalimia.
Siku hizi hata thread za kitoto unakuta watu wako bize kutoana mapovu. Watoto wakiona hivyo wanafurahi na kuzidi kumimina mithread yao.
Mi huwa nakasirikaga na kujikuta nimezimia kwenye jukwaa la wakubwa.
kweli babu mi pia wananiuzi na juzi bado kidogo nivunje mozilla firefox yangu kwa hasira. kama vipi hizo mada zisichangiwe.Zamani tulikuwa na kampeni. Thread ya kitoto tunaipotezea mazima. Kama hakuna thread ya maana basi tunachagua thread moja ya kitoto tunanachakachua kwa kupeana michongo ya ulabu na kusalimia.
Siku hizi hata thread za kitoto unakuta watu wako bize kutoana mapovu. Watoto wakiona hivyo wanafurahi na kuzidi kumimina mithread yao.
Mi huwa nakasirikaga na kujikuta nimezimia kwenye jukwaa la wakubwa.
Polee sana kwa kuku disappoint Lara. Kwa post hii ndio nime note kuwa hukujua mie ni mtu mzima sana (kuzeeka as you call it) sipo enzi zenu kama ulivyo dhani. Ndio mana unakuta katika mambo mengi tunaweza kuwa tofauti mana mitazamo imetofautiana.
Naomba pia nikusahihishe... Lara, it seems you are sensitive sana na kuwa you would think this is about you - una mwaka mzima hapa JF with this ID; You do not qualify ugeni, na wewe ni mkongwe. Na from this post ina insinuate kuwa mada zako waona ni moja ya categories... Yawezekana wapo wanao ona hivyo na chache ya threads zako zaashiria hivyo, ila it won't be the truth kusema mada zako hazipo insightful. Huwa unaleta hoja zako na wazitetea why you see so! That is how a discussion is presented.
Hivi huwa unapita mada zingine hapa MMU? Ina maana hujawahi ona kuwa kuwa kuna tatizo la kukithiri mada za kitoto?
Sina shida wewe keeping a close eye on me. It's an honor... Mie tena naomba kila unapo pingana na mimi tell me so; for its learning in progress.
2. Tujitahidi kurusha mada za kujenga na sio kubomoa au kumkomoa fulani au kuonyesha madhaifu fulani ya jamii yetu kwa kila atakae weza.
4. Kuondoa dharau kwa Mwanamke na Mwanaume pia. Mada za kusanifu Mwanaume ama Mwanamke hazijengi, zinabomoa tu.
5. Tujitahidi kuangalia pande zote za mijadala, isiwe vitu negative tu. Mfano sasa hivi kila inapokuja mada inayohusiana na ndoa huwa ni ya kukatisha tu tamaa, hata wale ambao hawapo kwenye taasisi hiyo hukatishwa tamaa kwa kukuza negatives tu na hali kuna positives pia kwa upande wa ndoa na sio kila ndoa ni majangaa au ina matatizo wapo wenye raha na furaha kwa ndoa zao
hahahha, kumbe na wewe unamjua hamisi, basi naomba ufikishe ujumbe. sio hapa lakini. hii thread nimeipenda kweli, leo sibanduki hapa.