- Thread starter
- #141
Heaven on earth ukisikia paa ujue imekukosa tafakari chukua hatua:clap2::clap2::clap2:Kabadilika aisee maana hapa mnekuwa mmechokozana sana........
halafu mbona tunaosoma na kuchangia mada hii ni wale wale au watu wengine haijawagusa
maana mi naifatilia tangu page ya kwanza niwe nasoma views za watu tofauti tofauti
cc Mr Rocky
Watakuja tuu maana la muhimu ni kila mmoja anaguswa na hili na ana mchango wake
Last edited by a moderator: