Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Na sasa yamekuwa mazoea ya watu humu kuandika risala kama hizi za kutoa wito wa kuacha kubandika mambo ya kipuuzi puuzi lakini wapi.

Kila baada ya wiki chache kunatokea mtu anaandika risala. Anapongezwa, anapewa ma-likes bwerere, halafu hakuna la maana linalotokea.

Watu hao hao waliompa ma-likes ndo unawakuta wanachangia hizo hizo mada zinazodaiwa kuishushia hadhi MMU.

Ubinadamu kazi!!
 
My favourite niece... Upo sawa kabisa! Na ndio mana wana jajiwa kwa mada zao. Mtu yupo over 30 huko akili anayowasilisha hapa ni as if yupo 16. Hapo hapo tambua kuna members wadogo sana humu jamvini.... But michango yao ipo so positive kiasi kwamba ukija kujua umri wake unashangaa kuwa yupo that young and so much wise.

kabisaaa, wale wazee wanaojifanya viyoung boys viache mara moja kabla sijavireport.
 
Mie siku hizi namaliz hadi siku nne na kuendelea na bado nikiingia nakuta hakuna cha maana,kiukweli kuna watu ambao wako na vipaji vya kuweka post zenye kujenga lakini wametokomea kusikojulikana matokeo yake kina asnam ndo tumetake over na kuweka udambu udambu wetu.
Na nitamwambia Invisible akufungie kabisa Asnam kama na wewe utaongeza idadi ya post
 
Last edited by a moderator:
Nisipomjua Hamisi ntamjua nani tena!!!!!!!Ujumbe umefika

mi nafatilia kwa makin maana kuna mda nakuwaga bored sana nikiingia hum

sa hivi nimetafuta majukwaa mengine ya kwenda.........

kweli shosti, watu tunataka kuboresha mahusiano sio kuleta upimbi humu. hivi huoni kuna dalili yza hii thread kuchakachuliwa?
 
kuna watu upeo wao ni mdogo na hawajui kama wanakwaza watu. vizuri basi wawe wanaambiwa hata kwa pm basi.

Wakiambiwa kwa pm wasipoacha???? Wachapwe mikwaju 12 LOL!

Watu wajifunze kutokwazika na tuvitu twa online! Ukikwaza usisome tena thread za mtu huyo! Mi sisomi thread za mpole sana coz anasifia sodomy! Najua atanikwaza

Kiroho safi lakini mimi ni shabiki maandazi wa hii mada! Nakazia tu juu ya comments za watu!

Bado hamjatoa suluhisho
 
Mi huwa nakasirikaga na kujikuta nimezimia kwenye jukwaa la wakubwa.

unanichekeshaga sana we babu lol!!!!!

Ukizimia kwenye hilo jukwaa uwe unaniita kutoa First Aid.......

sa mkiichakachua si ndo inazidi kutembea zaidi au ilikuwa inakuwaje kuwajje!!!!!
 
asakuta same asante sana kwa mchango wako na naamini yote ni katika kujenga na wala sio kubomoa
Huwezi kuwa na debate ambayo watu wote mnakubaliana hiyo sio debate sasa na hilo la kusema ni lazima negative side za kila kitu kionekane ni sawa ila sio katika kuonyesha kuwa kile kitu ni kibaya maana kwenye debate kuna sehem tunafika tunakubaliana na hoja na zile ambazo tunaona hazifai tunaziondoa #
hiyo nio dhana ya masuala ya mahusiano huwezi kusema ndoa ni nzuri kila siku na hakuna matatizo kweney ndoa ila sio kweli ina mambo yake na ndo hayo ambayo tunayongelea na kurekebishana na kuwekana sawa na mwisho tunafikia muafaka ila sio kutoa negative side tuu ya ndoa as if hakuna kizuri hata kimoja cha ndoa na hata kwa masuala mengine sio kutoa upande wa hasara tuu kwa sifa za wanawake as if hawana jema hata moja wao ni wabaya tuu hatutafika mkuu
 
Last edited by a moderator:
mi naona tatizo ni kuongezeka umaarufu wa JF na jinsi ambavyo imekuwa rahisi kwa yoyote kujiunga.. kiujumla naona majukwaa yote yapo hovyo hovyo tu na trend inaezidi kuwa mbaya. kama vp hawa wenye JF wabadilike na kuwe na membership ya kulipia tena isiwe pesa kidogo ambayo hata mtoto wa secondary ataweza kuimudu bila maumivu. hii itaisaidia watu wazima kuwa ndio members wengi zaidi kuliko saa hizi ambapo watoto wa shule ndio wamezidi.
 
wengi wamejikuta wanaondoa uhalisia wa vitu na kuweka dhana . inafikia sehemu kutoka nje ya mada au swali halisi na kuanza kejeri na hata kutoa maneno ya dharau .. na hiyo imetokana na wengi kuchukulia MMu kama sehemu ya kijiwe cha kahawa au kupiga soga ktk kuondoa stress
cha msingi mleta mada / jambo na wachangiaji kuwa serious na kama mtu anaona hawezi kuchangia basi akae kimya aishie kusoma
 
Labda kama kuna technology itakayoweza kutumia ku qualify threads au comments zitakazofaa kwenye jukwaa husika. otherwise ku control minds za watu ni kazi sana.
Vichwa ngumu tupo wengi sa sijui kama mambo itakaa sawa.
Ila hongereni kwa somo Mr Rocky na AshaDii. kwa hili somo tunaweza kubadilika tukaendana na jukwaa, lakini msisahau binadamu tunasahau haraka. kama vipi hapa nina AK 47 tuitumie kutoa discipline

To try to control diversity of thought in the age of the information superhighway is insurmountable.

So instead of folks trying to be the thought police, they'd be better served if they learn to disagree with others without being disagreeable.
 
Mie siku hizi namaliz hadi siku nne na kuendelea na bado nikiingia nakuta hakuna cha maana,kiukweli kuna watu ambao wako na vipaji vya kuweka post zenye kujenga lakini wametokomea kusikojulikana matokeo yake kina asnam ndo tumetake over na kuweka udambu udambu wetu.

Ndo muanze sasa kujirekebisha.
Ila kwakweli inafikia kipindi unakutana na vijimaada vya kijinga mpaka unaona kuliko kuwepo humu bora ukaapload photo ya mwanao FB ili uwe unafurahia kuiangalia! lol
 
unanichekeshaga sana we babu lol!!!!!

Ukizimia kwenye hilo jukwaa uwe unaniita kutoa First Aid.......

sa mkiichakachua si ndo inazidi kutembea zaidi au ilikuwa inakuwaje kuwajje!!!!!

Tunachakachua nje ya mada kabisa. Mfanano ye kaulizia mkoa gani una madem wazuri, sie tunajadili mechi ya Yanga vs Azam kwenye thread yake.
 
asakuta same asante sana kwa mchango wako na naamini yote ni katika kujenga na wala sio kubomoa
Huwezi kuwa na debate ambayo watu wote mnakubaliana hiyo sio debate sasa na hilo la kusema ni lazima negative side za kila kitu kionekane ni sawa ila sio katika kuonyesha kuwa kile kitu ni kibaya maana kwenye debate kuna sehem tunafika tunakubaliana na hoja na zile ambazo tunaona hazifai tunaziondoa #
hiyo nio dhana ya masuala ya mahusiano huwezi kusema ndoa ni nzuri kila siku na hakuna matatizo kweney ndoa ila sio kweli ina mambo yake na ndo hayo ambayo tunayongelea na kurekebishana na kuwekana sawa na mwisho tunafikia muafaka ila sio kutoa negative side tuu ya ndoa as if hakuna kizuri hata kimoja cha ndoa na hata kwa masuala mengine sio kutoa upande wa hasara tuu kwa sifa za wanawake as if hawana jema hata moja wao ni wabaya tuu hatutafika mkuu

mkuu , mimi nadhani asakuta same au Mentor au Himidini au Madame B tukileta upande negative wa ndoa ni jukumu lako wewe au [MENTION]lara1[/MENTION] au gfsonwin au snowhite au Mtambuzi kusemea upande positive wa ndoa kwenye huo mjadala mwisho wa siku wasomaji wanapata mazuri na mabaya humo humo ili kujifunza vizuri.......... na hii mijadala ipo hivi hivi toka kitambo mkuu.

hivyo hivyo mtu akija na mada ya kuwasema vibaya wanawake ilihali wewe una mke mzuri , dada mzuri na mama mzuri sana aliyekusimamia kwenye maisha ,,,,, inakuwa ni jukumu lako kuwatolea sifa nzuri nzuri humo mwisho wa mjadala tunakuwa tumepata pande zote mbili za shilingi
 
Last edited by a moderator:
Ndo muanze sasa kujirekebisha.
Ila kwakweli inafikia kipindi unakutana na vijimaada vya kijinga mpaka unaona kuliko kuwepo humu bora ukaapload photo ya mwanao FB ili uwe unafurahia kuiangalia! lol

nilijirekebisha kitambo best si unaona hata mimi nimepotea humu ndani.......
 
mi naona tatizo ni kuongezeka umaarufu wa JF na jinsi ambavyo imekuwa rahisi kwa yoyote kujiunga.. kiujumla naona majukwaa yote yapo hovyo hovyo tu na trend inaezidi kuwa mbaya. kama vp hawa wenye JF wabadilike na kuwe na membership ya kulipia tena isiwe pesa kidogo ambayo hata mtoto wa secondary ataweza kuimudu bila maumivu. hii itaisaidia watu wazima kuwa ndio members wengi zaidi kuliko saa hizi ambapo watoto wa shule ndio wamezidi.

kwani watoto wa shule tuna matatizo gani? acheni kutunyanyapaa bana, mie nikishamaliza homeworks zangu za biology ndio naingia humu kurefresh. hiyo kulipia sio bana.
 
mi naona tatizo ni kuongezeka umaarufu wa JF na jinsi ambavyo imekuwa rahisi kwa yoyote kujiunga.. kiujumla naona majukwaa yote yapo hovyo hovyo tu na trend inaezidi kuwa mbaya. kama vp hawa wenye JF wabadilike na kuwe na membership ya kulipia tena isiwe pesa kidogo ambayo hata mtoto wa secondary ataweza kuimudu bila maumivu. hii itaisaidia watu wazima kuwa ndio members wengi zaidi kuliko saa hizi ambapo watoto wa shule ndio wamezidi.

Sawa watu wazima wanaweza kuwa wengi.
Hivi ushawahi kufikiria kuhusu watu wazima "HOVYOOOO"???!!
Humu wamo saaaana tu, ukifuatilia mabandiko yao utawajua tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom