Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Mamluki hawakosekani popote pale, Ni jukumu letu sie kuhakikisha kuwa tunakuwa mfano kwa wengine na kukemea pale tunapohisi mambo yanakwenda sio.. Pamoja.

Kweli Baba V,

Ila kwa hali ilipofikia, nashauri wakuu wa JF watuanzishie temporary Trash bin ili mada zinaoonekana hazina mshiko zikahifadhiwe kwa muda....!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa! Jamani si utaua vifaranga vyote? Tuanze na hizo za Rocky then AK 47 itafuata.... Lol

Umeongea la msingi sana. Watu huwa tunasahau na ni kazi kuzi control minds za watu.

Asha you keep disapointing me! Unazeeka sasa lol! Huwezi amini sijasoma coment yoyote ila zako tu n im disapointed, ila nakufatilia kwa ukaribu still bet my money in u kwenye huu mjadala.

Well na ukongwe wenu sikutegemea haya mapinduz mnategemea mbeleko ya INVISIBLE!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Its not funny though! Like seriosly REPORT ABUSE!

Mi nilijua mmejipanga kupambana kifree market, democratically, kibepari kwaku COMPETE NA MADA ZA MAANA kuprove chipukiz
Ni majanga! Mngeleta challange na vita vya MADA! Sadly hapo waanzisha thread ni 3. As long as hamna thread nzuri na mpya kila mara watu watachangia hizo mbaya mpya zilizopo! Tatizo ni upungufu wa GT na thread zilizoenda shule! Kama iko ya maana watu hawawezi kucomment pumba ila kama hamna well watalazimika.

Mi langu jicho lol!

Nyamayo msamehe Kaunga she just has big faith in people. IT WAS MY FFAULT NA SADLY KUCHUNA IS MY PHILOSOPHY! You shouldnt judge her for 1 statement. She is nice you know!
 
Babu Dark City kuna vichwa vya wakati huo vilikuwa vikianzisha thread unajiuliza nichangie nini au nisemeje hapa
Kuna AshaDii na Lizzy na Roulette na akina BAK na EMT na mtu anayeitwa The Boss na The Finest yaani wakianzisha thread unajiuliza mara mbili mbili na bila kuzisahau busara za watu kama Dark City na Asprin na HorsePower na SnowBall na walimu wetu gfsonwin na snowhite jukwaa lilikuwa na raha zake

Mkuu wewe jifanye Kagame wa MMU na kusonga mbele....

Nakuahidi support ya kila aina ingawa siwezi kukupa ulinzi kama ule wa Shekh Y H alioahidi kwa mkuu wa kaya!!

Babu DC!!
 
Asante Binamu Mr Rocky, kusema ukweli jukwaa siku hzi limedoda.
Mtu anakuja eti anauliza "natafuta demu mkali" jamani, ina mana mtaani au kazini kwenu hakuna?
Kma kweli mnakera sana.

Sana sana hili la kujadili maumbile au madhahifu ya jinsia fulani ndo yamezidi humu.
Mr Rocky...bora umewapa ukweli.
.....Nitarudi.

kupitia keyboard?
 
Mkuu wewe jifanye Kagame wa MMU na kusonga mbele....

Nakuahidi support ya kila aina ingawa siwezi kukupa ulinzi kama ule wa Shekh Y H alioahidi kwa mkuu wa kaya!!

Babu DC!!
Dark City pamoja sana mkuu
Japo kuna kukatishwa tamaa ila tutafika tunakokutaka
mabadiliko yatatokana na sisi wenyewe na sio watu wengine wala Mods
 
Last edited by a moderator:
Ni ujumbe mzuri na uvivi wangu wote ila nimesoma mwanzo hadi mwisho na

kurudia baadhi ya vipengele ili niweze kuelewa zaidi!!!!!!!!!!

I believe katika ule msemo CHANGE BEGINS WITH YOU!!!!!tusitegemee moderators tu....

umesoma mpaka majina? kweli mr rocky tutajirekebisha hadhi irudi. nisaidie kumfikishia ujumbe hamisi kishindindo asiwe ananichokoza ili tusichakachue threads.
 
umesoma mpaka majina? kweli mr rocky tutajirekebisha hadhi irudi. nisaidie kumfikishia ujumbe hamisi kishindindo asiwe ananichokoza ili tusichakachue threads.
Husninyo nimekumiss sana ujue na karibu kwenye mabadiliko yaanze na wewe na yule na wengine
Ukiupata ujumbe waaambie na wengine
 
Last edited by a moderator:
AshaDii, hicho kipengele cha kwanza ulichokiongelea kimenigusa, na inatokea sana hapa jamvini, kwamba wanafahamia kivyao huko wakija humu wanabakia kutetea maujinga yaliyo wazi kabisa, kuna siku nilisoma mada fulani humu mdada/mmama anatetea upuuzi kwa kuingia ishu ya kijinga kabisa, mtu anamkosoa mtoa mada kwa wema tu, kwamba mada zake zimekaa kama kuhamasisha kuchuna, kuwa na wanaume wenye pesa etc, we unasema ooh umjui fulani, kwenye mazingira halisi hayupo hivyo unavyomfikiria,kwanza umkome kabisa, i was like gosh! nilikuwa namheshimu sana huyo member aliyom attack huyo jamaa alivyo comment yeye anavyoona, nimetokea kumdharau sana, kujuana kwenu kwa namna yoyote ile inamzuia nini member mwingine asikosoe, na nilikuwa nataka kumjibu huyo mdada/mmama alienunua kesi ila nashukuru network siku hiyo ilikuwa kimeo kabisa, mana angenisababishia ban!

Sometimes watu hufanya vitu bila kujua kuwa wanafanya... Labda by pointing out inaweza sana kusaidia kwa namna moja ama nyingine. Case hii umetoa ni mfano mzuri sana wa hili.

Asante Nyamayao...
 
Dark City pamoja sana mkuu
Japo kuna kukatishwa tamaa ila tutafika tunakokutaka
mabadiliko yatatokana na sisi wenyewe na sio watu wengine wala Mods

Wakati mwingine ni vingumu ku-exercise democracy.....

Kama umepewa u-mod...basi kata kama vile umefaa miwani ya chuma....ila na wewe usianzishe tatizo jiningine kwa kulete upendeleo...!!

Babu DC!!
 
Husninyo nimekumiss sana ujue na karibu kwenye mabadiliko yaanze na wewe na yule na wengine
Ukiupata ujumbe waaambie na wengine

nimekumiss pia mr rocky!ila mimi naomba mnivumile maana siwezi kuguarantee kuwa nitabadilika.
 
Last edited by a moderator:
Asha you keep disapointing me! Unazeeka sasa lol! Huwezi amini sijasoma coment yoyote ila zako tu n im disapointed, ila nakufatilia kwa ukaribu still bet my money in u kwenye huu mjadala.

Well na ukongwe wenu sikutegemea haya mapinduz mnategemea mbeleko ya INVISIBLE!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Its not funny though! Like seriosly REPORT ABUSE!

Mi nilijua mmejipanga kupambana kifree market, democratically, kibepari kwaku COMPETE NA MADA ZA MAANA kuprove chipukiz
Ni majanga! Mngeleta challange na vita vya MADA! Sadly hapo waanzisha thread ni 3.

Mi langu jicho lol!

Nyamayao msamehe Kaunga she just has big faith in people. IT WAS MY FFAULT NA SADLY KUCHUNA IS MY PHILOSOPHY! You shouldnt judge her for 1 statement. She is nice you know!

Ohh plzzzzz Lara, Kaunga ni mdada ninaeenda nae sambamba sana humu jukwaani, napenda michango yake haswaa, na hajawahi kunikera hata kidogo na kuna watu na watu ninaweza kupishana nao maneno humu ndani na nikaingia PM kuwekana sawa na mambo yakasonga, mmoja wa watu ninaoweza kufanya hivyo ni Kaunga, soo plz hausiki hapa hata kidogo! namheshimu Kaunga sana sana! ohh yes ni mada uliianzisha wewe! na sichukii mada zako kabisa, hayo ni maoni yako wewe, huyo mdada/mmama ndio alienikera kwa kufanya kukutetea kwamba anakujua kiuhalisia sijui haupo hivyo, na blah blah, jamaa aliekukosoa labda hamjuani/fahamiani haruhusiwi kukukosoa? kuna wanaokukosoa wengi humu na unawaweka sawa, sijaona tatizo hapo, ishu ni huyu mama kuingilia, ungejibu wewe kama nilivyozoea kukusoma ukiwajibu isingenipa shida hata kidogo.
 
upo sahihi Mr Rocky jukwaa halielimishi na kujenga bali limekuwa kijiwe cha gahawa story nyingi za kutunga mtu anaanzisha thread kibao hazina mshiko bora kaandika.....lakini cha kushangaza members wanachangia sana huku wakimponda akiona wingi wa wachangiaji kesho anaongeza thread 50 zaidi ni jukumu letu sasa kuona thread haina mshiko na kuacha kuchangia na mleta mada atajifunza kuacha kuandika -----....naamini jukwaa litarudia hadhi yake bila shika
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Mkuu Rocky katika jitihada zako za kulirudisha jukwa hili na kwa maoni yangu JF yote katika hali ambayo ilipendwa na kukubaliwa na wanachama wengi wa miaka ya nyuma. Pia shukrani zangu kwa wote waliochangia mawazo yao katika kumuwezesha Mkuu Rocky kuandika uzi huu kwa kina. Tuhakikishe hili jukwaa haliharibiwi na wachache kwa kisingizio kwamba JF imekuwa kubwa mno miaka ya karibuni pamoja na ukuaji huo wa JF na kufikia karibu wanachama 160,000 lakini bado tunaweza kuhakikisha jukwaa linakuwa na sifa nzuri iliyokuwepo miaka ya nyuma.
 
Last edited by a moderator:
otherwise ku control minds za watu ni kazi sana. Vichwa ngumu tupo wengi sa sijui kama mambo itakaa sawa.

Kuna watu wanaangalia mambo objectively. Lakini pia wapo baadhi ambao wanaangalia mambo subjectively. Wanaamni kuwa kila wanachokifanya basi kinafanywa na kila mtu au kinatakiwa kufanywa au kuaminiwa na kila mtu.

Pia wapo baadhi ya watu wengine wana closed minds. Wanaamini wanachokiamini and they are not prepared to even hear the other side of the coin.

At the same time kuna baadhi ya watu ambao they can't tolerate. They are not prepared to allow the existence, occurrence, or practice of something that one does not necessarily like or agree with without any interference.

Then kuna baadhi ya watu ambao probably ni attention seeker. Hawa watu wana-seek attention kutoka kwa watu wengine as a form of feedback. Hili siyo tatizo lakini linakuwa tatizo kwa both parties kama hii tabia inakuwa too excessive and inappropriate. Wenyewe wanaita "attention seeking disorder".

Nikiongezea kwa upande wa Wabongo tunapenda sana kujadili mada za kiudaku udaku. We really love this. Tukisikia, kuona au kuambiwa kitu in private, we can't keep our months shut. But wapo wachache ambao they don't like this.

Kwa hiyo, unapoweka watu hawa wote kwenye kapu moja lazima kutatokota tuu. Hata hivyo, naamini kuwa watu wa aina hii hawapatikani kwenye social media tuu. Wanapatikana pia mitaani. Tunaishi nao kila siku. Wengine ni ndugu zetu, majirani na marafiki zetu. It is just how we handle them.
 
nimekumiss pia mr rocky!ila mimi naomba mnivumile maana siwezi kuguarantee kuwa nitabadilika.

Nakuhitaji sana Husninyo ubadilike maana katika watu wa muda sana humu na wewe upo aise
Naamini tuko pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Asha you keep disapointing me! Unazeeka sasa lol! Huwezi amini sijasoma coment yoyote ila zako tu n im disapointed, ila nakufatilia kwa ukaribu still bet my money in u kwenye huu mjadala.

Well na ukongwe wenu sikutegemea haya mapinduz mnategemea mbeleko ya INVISIBLE!!!!!!!! Hahahaaaaaa! Its not funny though! Like seriosly REPORT ABUSE!

Mi nilijua mmejipanga kupambana kifree market, democratically, kibepari kwaku COMPETE NA MADA ZA MAANA kuprove chipukiz
Ni majanga! Mngeleta challange na vita vya MADA! Sadly hapo waanzisha thread ni 3.

Mi langu jicho lol!

Nyamayo msamehe Kaunga she just has big faith in people. IT WAS MY FFAULT NA SADLY KUCHUNA IS MY PHILOSOPHY! You shouldnt judge her for 1 statement. She is nice you know!

Polee sana kwa kuku disappoint Lara. Kwa post hii ndio nime note kuwa hukujua mie ni mtu mzima sana (kuzeeka as you call it) sipo enzi zenu kama ulivyo dhani. Ndio mana unakuta katika mambo mengi tunaweza kuwa tofauti mana mitazamo imetofautiana.

Naomba pia nikusahihishe... Lara, it seems you are sensitive sana na kuwa you would think this is about you - una mwaka mzima hapa JF with this ID; You do not qualify ugeni, na wewe ni mkongwe. Na from this post ina insinuate kuwa mada zako waona ni moja ya categories... Yawezekana wapo wanao ona hivyo na chache ya threads zako zaashiria hivyo, ila it won't be the truth kusema mada zako hazipo insightful. Huwa unaleta hoja zako na wazitetea why you see so! That is how a discussion is presented.

Hivi huwa unapita mada zingine hapa MMU? Ina maana hujawahi ona kuwa kuwa kuna tatizo la kukithiri mada za kitoto?

Sina shida wewe keeping a close eye on me. It's an honor... Mie tena naomba kila unapo pingana na mimi tell me so; for its learning in progress.
 
upo sahihi Mr Rocky jukwaa halielimishi na kujenga bali limekuwa kijiwe cha gahawa story nyingi za kutunga mtu anaanzisha thread kibao hazina mshiko bora kaandika.....lakini cha kushangaza members wanachangia sana huku wakimponda akiona wingi wa wachangiaji kesho anaongeza thread 50 zaidi ni jukumu letu sasa kuona thread haina mshiko na kuacha kuchangia na mleta mada atajifunza kuacha kuandika -----....naamini jukwaa litarudia hadhi yake bila shika
Blaki Womani asante sana kwa mchango wako na naamini utakuwa balozi mzuri katika hilo na mwanzo ni mgumu ila kufika tutafika
 
Last edited by a moderator:
Nakuhitaji sana Husninyo ubadilike maana katika watu wa muda sana humu na wewe upo aise
Naamini tuko pamoja sana
mimi niweje sasa, kama tunataka kurekebishana tutajane humu kila mtu aambiwe anakosea wapi, wapi abadilike wapi ajiboreshe. karibuni
 
Last edited by a moderator:
umesoma mpaka majina? kweli mr rocky tutajirekebisha hadhi irudi. nisaidie kumfikishia ujumbe hamisi kishindindo asiwe ananichokoza ili tusichakachue threads.

Mentions zote..na hadi sasa nafuatilia mwanzo mwisho......sitaki kumiss a thing.......

Mr Rocky akishindwa kumfikishia ujumbe Hamisi hiyo kazi waweza kunipa mimi!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom