Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Na hii biashara ya kamjamaa kamoja kanaanzisha threads mia nne kwa siku! Yani zote ni viumbea tuuu.

Mi nakasirikaga mpaka naenda kuzimia kule jukwaa la wakubwa.

hahaaaaa umenifanya nicheke.....ila huwa inaboa sana..........

awe anatupa space ya kujadili mada aisee tena zote zinamuvuzishwa kwa mkupuo
 
....
4. Kuondoa dharau kwa Mwanamke na Mwanaume pia. Mada za kusanifu Mwanaume ama Mwanamke hazijengi, zinabomoa tu
......
hii inaudhi kweli.
watu wamekuwa wakileta mada za kuchambana mpaka najiuliza kama walishikiwa mtutu wa bunduki kuingia kwenye mahusiano. men need women and vice versa so lazima tuheshimiane na kubehave with maturity.
 
hahaaaaa umenifanya nicheke.....ila huwa inaboa sana..........

awe anatupa space ya kujadili mada aisee tena zote zinamuvuzishwa kwa mkupuo
Asprin na Heaven on earth tatizo jingine sio tuu huo urushaji wa mnada je zinajadilika na zinafundisha
Maana ukirusha thread moja kwa siku na watu wakaijadili page kumi au hata tatu na wanatoa xomments za haja na ina changamoto mbalimbali sawa haina shida ila nyingine unakutana nayo unajiuliza sasa hapa nichangie nini
 
Last edited by a moderator:
Labda kama kuna technology itakayoweza kutumia ku qualify threads au comments zitakazofaa kwenye jukwaa husika. otherwise ku control minds za watu ni kazi sana.
Vichwa ngumu tupo wengi sa sijui kama mambo itakaa sawa.
Ila hongereni kwa somo Mr Rocky na AshaDii. kwa hili somo tunaweza kubadilika tukaendana na jukwaa, lakini msisahau binadamu tunasahau haraka. kama vipi hapa nina AK 47 tuitumie kutoa discipline
 
Last edited by a moderator:
hii inaudhi kweli.
watu wamekuwa wakileta mada za kuchambana mpaka najiuliza kama walishikiwa mtutu wa bunduki kuingia kwenye mahusiano. men need women and vice versa so lazima tuheshimiane na kubehave with maturity.
Blaine uko salama mkuu
Yaani inaudhi sana na wengine kama alivyosema AshaDii wanapambana kwenye PM wanakuja kumalizia hasira zao kwenye kuanzisha thread inakuwa balaa sasa hapo unashindwa kuelewa kwa nini wasiyamalize huko huko PM
 
Last edited by a moderator:
Labda kama kuna technology itakayoweza kutumia ku qualify threads au comments zitakazofaa kwenye jukwaa husika. otherwise ku control minds za watu ni kazi sana.
Vichwa ngumu tupo wengi sa sijui kama mambo itakaa sawa.
Ila hongereni kwa somo Mr Rocky na AshaDii. kwa hili somo tunaweza kubadilika tukaendana na jukwaa, lakini msisahau binadamu tunasahau haraka. kama vipi hapa nina AK 47 tuitumie kutoa discipline
Mungi huwa naamini hakuna kitu static all the time kila kitu kinabadilika kulingana na muda na mazingira na with time na report abuse zikiwa nyingi watu wataelewa tuu kuwa we need changes na sio kwa mtutu wa bunduki ila kwa mawazo na vitendo
Na naamini mabadiliko yataanzia kwako na kwangu kwa kuamua kuwa sasa imetosha na kama ni kutaka kuchekesha na kuwaondolea watu stress nenda chit chat na kama unataka kujadili maumbile nenda jukwaa la wakubwa na kama unataka porojo nenda jokes kule na kama umegombana na mtu kwenye PM malizaneni huko huko sisi huku tunataka mada za kutufundisha na kutujenga
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mr Rocky umeongea vyema kwani jukwaa la mmu limeingiliwa sana tena sana,
mambo ya kipuuzi yanapostiwa hovyo mpaka mm nimeona nibaki cc kwani sitembelei
kule ni majanga tu na matatizo ntayapata

Ni vyema wanammu tukarudi kulijenga upya jukwaa letu limevamiwa na wavamizi wa kiziwa N
 
Last edited by a moderator:
yaani inakera mkuu mpaka watu tunaona tuingie SIASANI, TECH tu kidogo nafuu
hii inaudhi kweli.
watu wamekuwa wakileta mada za kuchambana mpaka najiuliza kama walishikiwa mtutu wa bunduki kuingia kwenye mahusiano. men need women and vice versa so lazima tuheshimiane na kubehave with maturity.
 
Mimi nahisi kama kuna uvamizi wa ajabu hapa MMU...

Inabidi sasa wenye nyumba warudi uwanjani...

Babu DC!!

Mamluki hawakosekani popote pale, Ni jukumu letu sie kuhakikisha kuwa tunakuwa mfano kwa wengine na kukemea pale tunapohisi mambo yanakwenda sio.. Pamoja.
 
Mr Rocky kuna topic moja nadhani ukiipitia utaona hata aibu kusoma NIMEMUUMIZA DADA MFANYAKAZI MWENZANGU lakini sijutii kilichofuata ni mvua ya matusi kwa mleta mada
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mr Rocky umeongea vyema kwani jukwaa la mmu limeingiliwa sana tena sana,
mambo ya kipuuzi yanapostiwa hovyo mpaka mm nimeona nibaki cc kwani sitembelei
kule ni majanga tu na matatizo ntayapata

Ni vyema wanammu tukarudi kulijenga upya jukwaa letu limevamiwa na wavamizi wa kiziwa N
ladyfurahia asante sana kwa kuliona hilo na ukiangalia kwa sana wana MMU wengi wamekimbilia siasa au Chit chat baada ya kuona hakuna la maana huku
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kuna topic moja nadhani ukiipitia utaona hata aibu kusoma NIMEMUUMIZA DADA MFANYAKAZI MWENZANGU lakini sijutii kilichofuata ni mvua ya matusi kwa mleta mada
The secretary hukuwa na haja ya kuendelea kuisoma ungereport tu abuse maana hao ndio wanaotufanya tulikimbie jukwaa na kuhamia majukwaa mengine Baba V pamoja sana mkuu na nakubaliana na wewe pamoja tutafika
 
Last edited by a moderator:
hii inaudhi kweli.
watu wamekuwa wakileta mada za kuchambana mpaka najiuliza kama walishikiwa mtutu wa bunduki kuingia kwenye mahusiano. men need women and vice versa so lazima tuheshimiane na kubehave with maturity.

mkuu Mr Rocky umeongea vyema kwani jukwaa la mmu limeingiliwa sana tena sana,
mambo ya kipuuzi yanapostiwa hovyo mpaka mm nimeona nibaki cc kwani sitembelei
kule ni majanga tu na matatizo ntayapata

Ni vyema wanammu tukarudi kulijenga upya jukwaa letu limevamiwa na wavamizi wa kiziwa N

Mr Rocky kuna topic moja nadhani ukiipitia utaona hata aibu kusoma NIMEMUUMIZA DADA MFANYAKAZI MWENZANGU lakini sijutii kilichofuata ni mvua ya matusi kwa mleta mada

Dears... Hapa ndipo tunarudi pale pale kuwa yawezekana mods wameelemewa. Hivyo mtu unapo ona thread haifai ni vizuri kui report ili ifanyiwe kazi.
 
Labda kama kuna technology itakayoweza kutumia ku qualify threads au comments zitakazofaa kwenye jukwaa husika. otherwise ku control minds za watu ni kazi sana.
Vichwa ngumu tupo wengi sa sijui kama mambo itakaa sawa.
Ila hongereni kwa somo Mr Rocky na AshaDii. kwa hili somo tunaweza kubadilika tukaendana na jukwaa, lakini msisahau binadamu tunasahau haraka. kama vipi hapa nina AK 47 tuitumie kutoa discipline

Hahahahaa! Jamani si utaua vifaranga vyote? Tuanze na hizo za Rocky then AK 47 itafuata.... Lol

Umeongea la msingi sana. Watu huwa tunasahau na ni kazi kuzi control minds za watu.
 
AshaDii, hicho kipengele cha kwanza ulichokiongelea kimenigusa, na inatokea sana hapa jamvini, kwamba wanafahamia kivyao huko wakija humu wanabakia kutetea maujinga yaliyo wazi kabisa, kuna siku nilisoma mada fulani humu mdada/mmama anatetea upuuzi kwa kuingia ishu ya kijinga kabisa, mtu anamkosoa mtoa mada kwa wema tu, kwamba mada zake zimekaa kama kuhamasisha kuchuna, kuwa na wanaume wenye pesa etc, we unasema ooh umjui fulani, kwenye mazingira halisi hayupo hivyo unavyomfikiria,kwanza umkome kabisa, i was like gosh! nilikuwa namheshimu sana huyo member aliyom attack huyo jamaa alivyo comment yeye anavyoona, nimetokea kumdharau sana, kujuana kwenu kwa namna yoyote ile inamzuia nini member mwingine asikosoe, na nilikuwa nataka kumjibu huyo mdada/mmama alienunua kesi ila nashukuru network siku hiyo ilikuwa kimeo kabisa, mana angenisababishia ban!
 
Upo sahihi kabisa Mr Rocky kasi ya kumis-use hili jukwaa inaongezeka kwa kasi,utoto,kejeli,kuchambana,matusi vimekuwa kawaida wakati hapo awali havikuwa na nafasi,pamoja na kureport mi naona hamna haja ya kuchangia sredi zisizokuwa na mantiki unapotezeaa tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asprin katika watu waliopotea ni wewe mkuu
Dah karibu sana mkuu bora turudishe MMU yetu bana enzi AshaDii na Lizzy wanatoa topic unajiuliza nijibu au nichangie nini au uanjikuta umebaki msomaji tuu maana mada ni moto

Idea ya kufutilia mbali thread zisizofaa hapa MMU naiunga mkono...

Laiti ningekuwa na muda...mngeona kazi ya Babu mnoko....

Kama hakuna mada ya maana, watuache tufanya reference kwenye thread zilizowahi kutuweka macho hadi jogoo wanaamka!!

Babu DC!!
 
Upo sahihi kabisa Mr Rocky kasi ya kumis-use hili jukwaa inaongezeka kwa kasi,utoto,kejeli,kuchambana,matusi vimekuwa kawaida wakati hapo awali havikuwa na nafasi,pamoja na kureport mi naona hamna haja ya kuchangia sredi zisizokuwa na mantiki unapotezeaa tu
Toria hilo ndo la muhimu kupotezea thread yoyote ambayo inaonekana haina tija kwa jukwaa na haina mafundisho yoyote au mafunzo yoyote au ya kuongelea maumbile au kuwakejeli watu fulani
 
Last edited by a moderator:
Idea ya kufutilia mbali thread zisizofaa hapa MMU naiunga mkono...

Laiti ningekuwa na muda...mngeona kazi ya Babu mnoko....

Kama hakuna mada ya maana, watuache tufanya reference kwenye thread zilizowahi kutuweka macho hadi jogoo wanaamka!!

Babu DC!!

Babu Dark City kuna vichwa vya wakati huo vilikuwa vikianzisha thread unajiuliza nichangie nini au nisemeje hapa
Kuna AshaDii na Lizzy na Roulette na akina BAK na EMT na mtu anayeitwa The Boss na The Finest yaani wakianzisha thread unajiuliza mara mbili mbili na bila kuzisahau busara za watu kama Dark City na Asprin na HorsePower na SnowBall na walimu wetu gfsonwin na snowhite jukwaa lilikuwa na raha zake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom