Wana MMU huyu jamaa kapotelea wapi?

Wana MMU huyu jamaa kapotelea wapi?

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
459
Reaction score
131
Habarini zenu wadau

Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi


Simuonagi humu

Au ana I'd mpya?


Aisee kama upo know. That your being missed lol



NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.
 
Last edited by a moderator:
Yuko busy na kugegeda wote anawaona anastahili kuwagegeda.

 
Last edited by a moderator:
ndo maajabu ya JF haya..

dada kama huyu siku ingine utasikia akisema yeye bikira
au kaolewa na anampenda mumewe

na leo anamuulizia mgegedaji maarufu wa JF

JF IS NEVER BORING......



The Boss never jugde a book by its cover mkuu


Nimeuliza tu kiroho Safi,
 
Last edited by a moderator:
Habarini zenu wadau

Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi


Simuonagi humu

Au ana I'd mpya?


Aisee kama upo know. That your being missed lol



NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.

Mtafute PM
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ndo maajabu ya JF haya..

dada kama huyu siku ingine utasikia akisema yeye bikira
au kaolewa na anampenda mumewe

na leo anamuulizia mgegedaji maarufu wa JF

JF IS NEVER BORING......

Halafu kajiunga juzi juzi tu hapa (Oktoba 24, 2013) halafu eti anammissi Mzabzab...
 
mzabzab labda kagoshoa!!!! Kama upo njoo umpe migegedo mtoto mrito!!
 
Last edited by a moderator:
​Nilikuwa sijui kama Broken soul ni mdada.

ndo maajabu ya JF haya..

dada kama huyu siku ingine utasikia akisema yeye bikira
au kaolewa na anampenda mumewe

na leo anamuulizia mgegedaji maarufu wa JF

JF IS NEVER BORING......
 
Last edited by a moderator:
Habarini zenu wadau

Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi


Simuonagi humu

Au ana I'd mpya?


Aisee kama upo know. That your being missed lol



NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.

Jinsia yako tafadhari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom