That makes two of us
Jamaa ana michango ya ukweli
Ha-sugar coat kitu
Asee sijui yuko wapi
dah mwana mwenzie nimekatika sasa...sina ujanja kwa huyu bby wangu lol.
That makes two of us
Jamaa ana michango ya ukweli
Ha-sugar coat kitu
Asee sijui yuko wapi
nimechukua nafasi ya mzabzab
i see
sisi tusiojua kugegeda huwezi kutumiss naona :shocked:
Yuko busy na kugegeda wote anawaona anastahili kuwagegeda.
Habarini zenu wadau
Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi
Simuonagi humu
Au ana I'd mpya?
Aisee kama upo know. That your being missed lol
NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.
Habarini zenu wadau
Hivi huyu jamaa Mazabzab (sujui kama nimepatia jina lake) A.K.A mgegedaji maarufu yuko wapi siku hizi
Simuonagi humu
NB kabla hamjamake conclusion zenu nimemiss michango yake tu.
Halafu kajiunga juzi juzi tu hapa (Oktoba 24, 2013) halafu eti anammissi Mzabzab...
kwakweli hata mie nimemmiss sweetie wangu lol
jamani mzabzab where are u baby, mi missing u alol
come back baby, mwenzio naumia atiiiii
Au ana I'd mpya?
Aisee kama upo know. That your being missed lol
mzabzab mbona hatuambizani bwanah vipi did you finally make it?mbaby ni wa wapi eritrea,somalia au wapi?mbona siri siri sana?
haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa rafiki umeniacha hoi kwa kicheko,nimeongeza siku za kuishi.
hahha blue g ujambo wewe? mie nipo ila ukitaka data kamili wee nitafute cbemba tuu kule upate mainfo
yuko busy na kugegeda wote anawaona anastahili kuwagegeda.
kwakweli hata mie nimemmiss sweetie wangu lol
jamani mzabzab where are u baby, mi missing u alol
come back baby, mwenzio naumia atiiiii
Au ana I'd mpya?
Aisee kama upo know. That your being missed lol
Heeee nyie huyu ni mwanamke au mwanaume?
ha ha ha ha ha ha utaisoma number
muulize sweetie wangu ndo anajua jinsia yangu
usijali mkuu nitakushtua,ila sio vizuri na wewe unamisiwa mpaka mtu anaamua kukuanzishia thread?naona mbeby ana wivu sana mara moja moja uwe unamuomba ruhusa kuja kutoa hi.
Nifundishe namna ya kutuma hii kitu kwani nashindwa mwenzio nipe mbinu basi unafanyeje
Haya niambie!? umeshamaliza kuuza kuku wako wote!?
Nakutakia siku na kazi njema.