Wana MMU huyu jamaa kapotelea wapi?

Wana MMU huyu jamaa kapotelea wapi?

Halafu kajiunga juzi juzi tu hapa (Oktoba 24, 2013) halafu eti anammissi Mzabzab...
Mkuu kwani haiwezekani mtu kuwa mshabiki wa "member" fulani humu Jamvini bila yeye mwenyewe kuwa "member"?
 
mmmhhh mdogo wangu ya ukweli hayo,em fafanua maanake mi hata siuoni uzito wake,afu umepotea sana siku hizi uko pande zipi besti?
Napatikana kule jukwaa la chini kabisa, huko kwingine siku hizi kumevamiwa na DIV 5 za Profesa Mchome.
 
afu wewe hujaacha tu kuwaza papuchi?

mhm...zinavyotembezwa wazi wazi huku mujini ata kama ningetaka kuacha waza papuchi nashindwa...mpaka dada zangu muanze kuvaa vizuri.
 
basi inaonesha mbebi wako ni mpole mpaka anakuruhusu uwazage tu papauchi?au ulishamweleza kitambo na kumuomba akutake you the way you are?
mhm...zinavyotembezwa wazi wazi huku mujini ata kama ningetaka kuacha waza papuchi nashindwa...mpaka dada zangu muanze kuvaa vizuri.
 
hehehehehe mabwaku mbona divison 5?na kweli mdogo wangu sa nyingine ni bora kujiweka pembeni kuliko kukutana na majanga hayo ya division five yanatishaaaaaaaaa.
Napatikana kule jukwaa la chini kabisa, huko kwingine siku hizi kumevamiwa na DIV 5 za Profesa Mchome.
 
hehehehehe mabwaku mbona divison 5?na kweli mdogo wangu sa nyingine ni bora kujiweka pembeni kuliko kukutana na majanga hayo ya division five yanatishaaaaaaaaa.
Nawe karibu huku ufaidi matunda ya kutokuwa na tishio la kupigana BAN.
 
Back
Top Bottom