ndo maajabu ya JF haya..
dada kama huyu siku ingine utasikia akisema yeye bikira
au kaolewa na anampenda mumewe
na leo anamuulizia mgegedaji maarufu wa JF
JF IS NEVER BORING......
Halafu kajiunga juzi juzi tu hapa (Oktoba 24, 2013) halafu eti anammissi Mzabzab...
sio siri hata mimi nimemmiss mzabzab
​Nilikuwa sijui kama Broken soul ni mdada.
hii ndo JF na kule eti anatuuliza pm ndo nini.....
"Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea" hauwezi from no where umkumbuke mgegedaji bila kuwaza ngono!! Fanya kazi acha kuwaza ngono!!
​Nilikuwa sijui kama Broken soul ni mdada.
Nope ni -Me
Basi wana JF vile watakatifu niiteni "shoga"
Hamshindwi!