Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

Hata Dar es Salaam ina maeneo yenye maisha duni kama ilivyo Mbeya. Siyo kwamba Dar nzima iko kama Masaki na Oysterbay au Upanga.

Kuna maeneo ni ushenzini sana kama Kinondoni shamba, Mwanyamala Kisiwani, Kigogo, Mburahati, Buguruni Kwamnyamani, Vingunguti, Kowalano Kaliagogo etc
Mbeya ni kijiji kikubwa chenye vumbi jingi
 
Mbeya Jiji ina rank namba 5 katika GDP (sijui kama unajuwa maana ya GDP) kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI, utasemaje mzunguko wa fedha ni mdogo??
Acha ubishi kubali tatizo muanze upya kuijenga mbeya, Kuhusu w GDP hela nyingi inatoka kwenye kilimo, na migodi tena chunya.
hapo mjini kwenu hakuna miradi mikubwa ya hela nitajie vitega Uchumi vilivyopo apo Halmshauri ya Mbeya mjini unaovyoona vinachangia pato kubwa zaidi madiwani wenu wanakazi ya kujenga fremu za Kukodisha
 
Kwani misingi ya mjadala ni ipi? Au uhuru wa mawazo una maana gani? Unapimaje ubora wa mada? Ubora wa mada unapimwa kwa number of engagements na siyo kwa namna watu walivyoniunga mkono!!

Sijui ndugu ulisoma shule gani, kadai karo zako wakurudishie
Tusifike huko kwenye elimu mkuu😀😀na siwezi kuruhusu tushindane kupitia elimu nisamehe mkuu Mimi elimu yangu darasa la 7 lile la zamani tena huko usukumani mkoa wa simiyu hatukuwahi kulipia ada kwa hiyo Sina cha kudai ada zaidi ya miti tuliyokuwa tunajitolea kuipanda🙏
 
Acha ubishi kubali tatizo muanze upya kuijenga mbeya, Kuhusu w GDP hela nyingi inatoka kwenye kilimo, na migodi tena chunya.
hapo mjini kwenu hakuna miradi mikubwa ya hela nitajie vitega Uchumi vilivyopo apo Halmshauri ya Mbeya mjini unaovyoona vinachangia pato kubwa zaidi madiwani wenu wanakazi ya kujenga fremu za Kukodisha
Hauko conversant na takwimu. Rudi kwenye post yangu nimeongelea Jiji sikuongelea mkoa. Kimkoa Mbeya ni namba tatu kwenye GDP. Ila kwa Halmashauri Jiji la Mbeya ni namba 5.

Na hii haibadiliki itabakia hivyo hivyo hata kama huipendi Mbeya
 
Tusifike huko kwenye elimu mkuu😀😀na siwezi kuruhusu tushindane kupitia elimu nisamehe mkuu Mimi elimu yangu darasa la 7 lile la zamani tena huko usukumani mkoa wa simiyu hatukuwahi kulipia ada kwa hiyo Sina cha kudai ada zaidi ya miti tuliyokuwa tunajitolea kuipanda🙏
Ndiyo tatizo la mbumbumbu kushiriki mijadala inayohitaji akili kubwa.

Hamia kule social forums au chitchat au celebrities forums
 
Ndiyo tatizo la mbumbumbu kushiriki mijadala inayohitaji akili kubwa.

Hamia kule social forums au chitchat au celebrities forums
Huko kote sipajui mkuu Mimi mgeni kwenye majukwaa ya jf ndo kwanza nimejoin mwez ulopita...sorry bro ila ukweli mbeya ni kijiji kilichotelekezwa na maCCM sio ajabu ni mmoja kati ya waliopanga foleni kula sambusa na vibama vya mbunge wenu
 
Hauko conversant na takwimu. Rudi kwenye post yangu nimeongelea Jiji sikuongelea mkoa. Kimkoa Mbeya ni namba tatu kwenye GDP. Ila kwa Halmashauri Jiji la Mbeya ni namba 5.

Na hii haibadiliki itabakia hivyo hivyo hata kama huipendi Mbeya
Kwann nisiipende na ipo Tanzania, Munapenda sifa mussizo nazo hiyo ndio shida
 
Mbeya ni Kijiji kilichoumuka tembeleni kwa wenzenu muje muone miji ilivyopangwa na ustaarabu
 
Mbeya ni sehemu pekee utakutana na nguruwe kati ya mji anazurura 🤣
 
Wana Kijiji cha mbeya nawasalimu
Hatujambo sema na wewe unatoka kijiji gani.

Maana hata Far es Salaam nayo ni kijiji pia ukiacha maeneo ya City Centre, Kariakoo, Ilala na Kinondoni.

Njoo hapa tuweke ligi na mimi. Nitakuwekea picha za Vingunguti au Kigogo usijekuzikataa
 
Mbeya ni sehemu pekee utakutana na nguruwe kati ya mji anazurura 🤣
Kwanini ukereke na nguruwe wanatembea Mbeya? Mbona Mwembechai, Buguruni tunakutana na mbuzi wanatembea?

Chuki yenu dhidi ya Mbeya itwaua
 
Back
Top Bottom