Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,881
Reaction score
29,382
Screenshot_20260808_123452_Lite.jpg

Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa kutoka kupitia Mkataba ya Mawio Online TV, Mwabukusi alisema Mbeya ni miongoni mwa maeneo ambayo shughuli nyingi husitishwa mapema kiasi cha kufanya mitaa kuwa mitulivu mapema usiku.

“Mbeya ndiyo sehemu pekee panaitwa jiji lakini watu wote wanalala saa mbili kamili. Ukimkuta mtu anatembea ujue ni mlevi alipotea njia anajitahidi kurudi nyumbani,” alisema Mwabukusi.
 
Ukitaka kumuudhi mzungu, we mwambie kuwa sayansi na teknolojia ni fiction.

Ukitaka kumuudhi muafrika we mwambie tu UKWELI wowote ule.
Mh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.

Zamani, wakati wa sakata la DP World, tulikuona una akili na unaongea pointi za maana sana. Kumbe ulikua unatafuta kiki tu! Siku hizi umepoteza mwelekeo kabisa na umekuwa mropokaji asiye na sifa, unayeongea maneno yasiyo na tija kama Mwijaku tu. Mbeya inazalisha kwa akili, haishindi kijiweni!
 
Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa kutoka kupitia Mkataba ya Mawio Online TV, Mwabukusi alisema Mbeya ni miongoni mwa maeneo ambayo shughuli nyingi husitishwa mapema kiasi cha kufanya mitaa kuwa mitulivu mapema usiku.

“Mbeya ndiyo sehemu pekee panaitwa jiji lakini watu wote wanalala saa mbili kamili. Ukimkuta mtu anatembea ujue ni mlevi alipotea njia anajitahidi kurudi nyumbani,” alisema Mwabukusi.
Hatumkatai Kasema ukweli!
 
Labda mataahira wenzio mnaopewa bagia na mnagombaniana ndo watakuelewa chizi wewe.
Hizi akili ndogo ndo zipo CCM na tutegemee mabadiliko ya kisera kweli!!?

Akili kama hizi haziwezi kusimama na kumpiga mzee warioba kweli!!?

Hivi tukiziita matako yako tunakuwa tunakosea!!!?
Fooolish one😠😠😠😠😠😠😠
 
Mbeya ni kwetu lakini Bado,vyakula vingi IPO mpakani na Malawi, biashara nyingi,miti ya mbao mingi,madini mengi, nyumba nyingi za Udongo na zimebanana, barabara hovyo,Inashindwa hata na Dodoma kwenye ukame na ombaomba kibao!Sema mwabu!
 
Uongozi mbovu. hilo ndo suala linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.
Sasa kama mbunge wenu ndo anasema bodaboda ni matajiri wanatakiwawachangie bukubuku wajenge barabara huyo mataqo atakuja kuwaletea maendeleo lini!!?

Anawasomea gap anawaletea bagia za kalenga mnagombaniana mnasahau masuala ya kimaendeleo anawasha gari anaenda zake mtamlaumu naani!!?

Kuna muda ccm inatumia ujinga mwingi wa wananchi wake kuendelea kuwatawala.
endeleeni kusifu na kuabudu.
 
Hivi mtoa mada mnauhakika havutagi bange au madawa ya kulevya? Mimi napita sana mbeya na nimeishi sana mbeya tena uswahili kama NZOVWE,ILEMI,MAGEGE,MABATINI Hadi GHANA na sijaona mwabukusi alichoongea uongo tatizo lenu mbogamboga mnapenda sana mapambio ya kusifiwa tu ila kiufupi mbuge wenu wa mbeya ni wa hovyo haiwezekani kwa muda mfupi tu Jiji aligeuze liwe jangwa Yani ni vumbi Kila mahali
 
Mh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.
Zamani, wakati wa sakata la DP World, tulikuona una akili na unaongea pointi za maana sana. Kumbe ulikua unatafuta kiki tu! Siku hizi umepoteza mwelekeo kabisa na umekuwa mropokaji asiye na sifa, unayeongea maneno yasiyo na tija kama Mwijaku tu. Mbeya inazalisha kwa akili, haishindi kijiweni!
ALisikika kiumbe dhaifu kisa kaambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom