Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

Kulala mapema ni kwa sababu ya hali ya hewa (baridi kali nyakati za usiku).
Pia hamna harakati za kuwafanya watu wawe bize, Mzunguko wa hela mdogo, usalama wa watu mdogo pia, hakuna sehemu za starehe za Kueleweka,sehemu kubwa ya mji ni kiza tu
 
Sio kweli kuwa Mbeya watu wanalala saa 2. Tembelea maeneo ya chuo cha MUST mitaa ya kule uone wanalala saa ngapi
 
Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa kutoka kupitia Mkataba ya Mawio Online TV, Mwabukusi alisema Mbeya ni miongoni mwa maeneo ambayo shughuli nyingi husitishwa mapema kiasi cha kufanya mitaa kuwa mitulivu mapema usiku.

“Mbeya ndiyo sehemu pekee panaitwa jiji lakini watu wote wanalala saa mbili kamili. Ukimkuta mtu anatembea ujue ni mlevi alipotea njia anajitahidi kurudi nyumbani,” alisema Mwabukusi.
Naunga mkono hoja ya Mheshimiwa Mwabukusi.
 
Sio kweli kuwa Mbeya watu wanalala saa 2. Tembelea maeneo ya chuo cha MUST mitaa ya kule uone wanalala saa ngapi
Sasa wale si wasomi hata ukitembelea mashuleni utakuta wanafunzi wapo macho ni kawaida, Ila kwa kulala mapema munalala sana mapema kama vile moshi tu sijui ni baridi au nn
 
Mbeya nimeishi kuna baridi shughuli zinakata saa 3 mpaka 4 usiku
sababu hasa ni baridi ila huwa tunafidia asbuhi

Pale uyole ugali unaupata saa 11 alfajiri
Kwa hiyo Mwabu yupo sahihi!
 
Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa kutoka kupitia Mkataba ya Mawio Online TV, Mwabukusi alisema Mbeya ni miongoni mwa maeneo ambayo shughuli nyingi husitishwa mapema kiasi cha kufanya mitaa kuwa mitulivu mapema usiku.

“Mbeya ndiyo sehemu pekee panaitwa jiji lakini watu wote wanalala saa mbili kamili. Ukimkuta mtu anatembea ujue ni mlevi alipotea njia anajitahidi kurudi nyumbani,” alisema Mwabukusi.
Mnajuana ....Malizaneni......
 
Mh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.

Zamani, wakati wa sakata la DP World, tulikuona una akili na unaongea pointi za maana sana. Kumbe ulikua unatafuta kiki tu! Siku hizi umepoteza mwelekeo kabisa na umekuwa mropokaji asiye na sifa, unayeongea maneno yasiyo na tija kama Mwijaku tu. Mbeya inazalisha kwa akili, haishindi kijiweni!
Ukifata ushauri wa Wataalam kulala Saa tano Usiku ukaamka Saa Kumi na Mbili Asubuhi ( Masaa nane) ambayo ni Sawa na 1/3 ya Siku

Ukiwa Mwaminifu kulala Masaa nane Kila siku utakapo fikisha miaka 30 Utakuwa umetumia miaka 10 kulala,

Sasa wewe ulie lala utotoni na umekuwa Mkubwa una lala Saa Mbili unaamka saa Mbili,

Uzalishaji wako lazima uwe chini sana Kwa Sababu Muda wako wa kufanya Kazi ni mchache,

Mkoa Mzima mkiwa hivyo Moja Kwa Moja maendeleo yenu lazima yatakuwa chini tu,
 
Wewe bwege unajuwa kiwa mkoa wa Mbeya ndiyo inazalisha 1/3 ya chakula kinacholiwa nchini? Siyo kujiandikia kama headless chicken
 
Kulingana na Mazingira na Hali ya hewa yenu mlitakiwa kuzalisha zaidi ya Hapo,

Usijilinganishe na mikoa mingine Kwa Sababu hali ya hewa haifanani.
 
Mpumbavu umezaliwa kwenye mikoa ya wavivu huko pwani, kazi zenu ngono na kucheza bao, unategemea watu wa Mveya ndiyo wakufanyie kazi. Eti walale saa 5. Nyambaaf
 
Mbeya kuzuri ni kule uzunguni tuu...soko matola na maeneo ya kanisa katoliki la karibu na hospital ya Rufaa labda na forest kwingine daaah mma hapana mweee
 
Nitajie na wewe mkoa wako nikutajie maeneo yenu mabaya.

Mbona mnaisakama Mbeya na hamsemi kwenu ni wapi?
 
Back
Top Bottom