Sema mwabukusi naye kaanza kukosa vya kuongelea unawezaje kuuponda namna hiyo mkoa wako hata kama una mapungufu. Mimi nafikiri wenye kuichangamsha Mbeya ni wazawe wenyewe na wengi wao wamemeishia kuishi Dar na mmojawapo ni yeye Mwabukusi. Sasa kama yeye mwenyewe anaishi dar tena kwa kujenga na sio kupanga unataka nani sasa akaichangamshe Mbeya au unataka nani atembee huo usiku wakati watembeaji wenyewe ndo nyinyi na wote mumeishia dar!?Labda mataahira wenzio mnaopewa bagia na mnagombaniana ndo watakuelewa chizi wewe.
Hizi akili ndogo ndo zipo CCM na tutegemee mabadiliko ya kisera kweli!!?
Akili kama hizi haziwezi kusimama na kumpiga mzee warioba kweli!!?
Hivi tukiziita matako yako tunakuwa tunakosea!!!?
Fooolish one😠😠😠😠😠😠😠
Hiyo sio sababu stockholm hapa , na miji yenye baridi mpaka barafu hawalali mapema kiasi hikoMh. Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, unashangaa watu wa Mbeya kulala saa mbili usiku? Kwanza, jiji lile lina ubaridi mkali wa hadi nyuzijoto 8°C au 10°C nyakati za usiku, siyo joto la huko unakozurura. Pili, usiku ni wakati wa kupumzika baada ya kazi ngumu ya uzalishaji, na siyo muda wa kuzurura barabarani bila mpango.
Zamani, wakati wa sakata la DP World, tulikuona una akili na unaongea pointi za maana sana. Kumbe ulikua unatafuta kiki tu! Siku hizi umepoteza mwelekeo kabisa na umekuwa mropokaji asiye na sifa, unayeongea maneno yasiyo na tija kama Mwijaku tu. Mbeya inazalisha kwa akili, haishindi kijiweni!
Uchumi,idadi kubwa ya watu, Mbeya uchumi uko vizuri, nyumba na mpangilio wa mji ndio kipengere, Airport,Isanga, Mwanjelwa (Njilii),Ghana,Uyole,Nzovwe,nk karibu zote Udongo na zimebanana balaa!Huko ni kwetu,ila ukweli Lazima usemwe nalinganisha na Dodoma huku!Kwani kigezo cha kuwa jiji ni nini?
Urusi Kuna baridii Hadi Kuna magrada yakutoa theluji,lakini watu wanakesha bar!Hiyo sio sababu stockholm hapa , na miji yenye baridi mpaka barafu hawalali mapema kiasi hiko
Hiyo sio excuse
Piga Makoti!Ukweli wa kwamba tutembee usiku?? Hivi unaijuwa baridi ya Mbeya?? Baada ya baridi ya Makete then inakuja ya Mbeya. 2-14 degrees Celsius usiku unaanzaje kutembea usiku??
Huyo ni mpinga maendeleo wa Jiji letu, Mbeya magorofa tunajenga kila kukicha. Mwabukusi hata kibanda cha saloon hajawai fungua hapa Mbeya. Halafu yasemekana huyu ni mzaliwa wa Arusha. Basi rudi nyumbani kwenu Arusha Tanzania ni kubwa hujalazimishwa kuishi Mbeya. Hana hoja za kuishauri serikali ili iboreshe jiji letu na magorofa tutazidi kuyajenga fala tu huyoSasa uongo uko wapi hapo?
Nyie mna kariri na ushamba wenu ,watu wanaenda na trend ya kila sehemu...Dar nimeishi zaidi ya miaka 10 hata kesho niende hakuna hayo maajabu ... Biashara za masaa 24 zimeanza mapema .Ukweli mchungu
Huijui Mbeya bwege wewe kaa kimyaHivi mtoa mada mnauhakika havutagi bange au madawa ya kulevya? Mimi napita sana mbeya na nimeishi sana mbeya tena uswahili kama NZOVWE,ILEMI,MAGEGE,MABATINI Hadi GHANA na sijaona mwabukusi alichoongea uongo tatizo lenu mbogamboga mnapenda sana mapambio ya kusifiwa tu ila kiufupi mbuge wenu wa mbeya ni wa hovyo haiwezekani kwa muda mfupi tu Jiji aligeuze liwe jangwa Yani ni vumbi Kila mahali
Jamaa yenu anaishi Dar huko ,hajui chochote zaidi ya kupiga domoHuyo ni mpinga maendeleo wa Jiji letu, Mbeya magorofa tunajenga kila kukicha. Mwabukusi hata kibanda cha saloon hajawai fungua hapa Mbeya. Halafu yasemekana huyu ni mzaliwa wa Arusha. Basi rudi nyumbani kwenu Arusha Tanzania ni kubwa hujalazimishwa kuishi Mbeya. Hana hoja za kuishauri serikali ili iboreshe jiji letu na magorofa tutazidi kuyajenga fala tu huyo
Mtu wa Arusha huyo lazakiwa karibu na MbuguniMWABUKUSI ameongea ukweli pasi na unafiki. Tena ni vyema amesema yeye mwenye asili ya Mbeya, kuliko angeongea mtu wa asili ya sehemu/mkoa mwingine maana angeshambuliwa kwa sababu ya kutokuwa mwenyeji wa Mbeya.
Ukweli utatuweka huru kweli kweli.
Nashangaa Kwa nini Moshi sio jiji na Mbeya ni jiji 😂Kauli yake nyingine yenye utata hii hapa:-View attachment 3646167