Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Hii inabidi umwone Mkuu Sauti ya Umeme FMES au mpwa Yo Yo lazima atakuwa nazo lakini nimeskia kama anamsaidia mama kulea mtoto kwa hiyo yupo busy jamani.
 
Kwa nini usi-PM tu mkuu kuliko kutushirikisha wanajamii wote wakati mtu mwenyewe yupo humu humu?

Au ndo umekosa cha kuandika ukaamua uibuke na hiyo?
 
Kwa nini usi-PM tu mkuu kuliko kutushirikisha wanajamii wote wakati mtu mwenyewe yupo humu humu?

Au ndo umekosa cha kuandika ukaamua uibuke na hiyo?

Mkuu tema mate juu, kama humjui NN ni nani na kama huna contacts zake si ubaki kimyaa kuliko kuongea hivyo we ungepita tu bila na wewe kucoment chochote. Kwa kweli hata mimi nahitaji contacts zake nimjulie khali.
 
Kwa nini usi-PM tu mkuu kuliko kutushirikisha wanajamii wote wakati mtu mwenyewe yupo humu humu?

Au ndo umekosa cha kuandika ukaamua uibuke na hiyo?

watu wa taipu yako huwa mnasubiri hadi aombe namba mkjj ndo hamuongei kashfa!
bwah!hahahahahahah!....i still love you anyway
 
Your brother alafu unaomba number yake ya simu? Sidhani kama litakuwa jambo la busara kwa mtu kutoa number ya simu ya mtu mwingine bila idhini yake. ngoja tumuulize NN mwenye anasemaje kuhusiana na hilo swala.
 
inasikitisha kwamba una uelewa finyu sana kuhusu neno BROTHER!i am sorry

Lakini pia,niliomba mwenye hizo contact ani PM,sasa sijajua unatumia kifaa gani kupima busara,AS PER U R KNOWLEDGE!

hahahahah!I STILL LOVE YOU ALL THE WAY,ahsante kwa post yako
 
thank you max!
i am confortable with your help.
 
thank you max!
i am confortable with your help.

Wakati narudi toka officen nimepishna nae amekaa kibarazani kwake anamnywesha mtoto maziwa.nika muuliza kulikoni tena na mtoto? akajibu WOS amemkibia akamuashia mtoto.NN yupo fit sana kwa kulea.
 
inasikitisha kwamba una uelewa finyu sana kuhusu neno BROTHER!i am sorry

Lakini pia,niliomba mwenye hizo contact ani PM,sasa sijajua unatumia kifaa gani kupima busara,AS PER U R KNOWLEDGE!

hahahahah!I STILL LOVE YOU ALL THE WAY,ahsante kwa post yako

Hapo kwenye red, ahsante kwa compliment[sic].

Kwani kupewa hiyo number kwa kupitia PM ndio kunaondoa umuhimu wa kuheshimu privacy ya watu? Wewe utafurahia members hapa wakianza kutoa number au email yako kwa mtu yoyote atakayeiulizia?
 
watu wa taipu yako huwa mnasubiri hadi aombe namba mkjj ndo hamuongei kashfa!
bwah!hahahahahahah!....i still love you anyway

Hata kama hiyo namba angeiomba Bwana Yesu au Mtume Mohamed ningempa jibu hilo hilo manake ninavyoelewa hapa JF tunasaidiana kwa kupeana mbinu mbali mbali.. Maybe muomba namba hakuwa na wazo kama nililompatia, huoni kwamba nimeshasaidia?

Anyway, I Love you too as my Brother🙂.. Ubarikiwe sana ila samahani kama kwa jibu langu nitakuwa nimekukwaza Mkuu.
 
Dilunga
Icadon
Moshe Dayan
Morani75

Wazee rudini jamvini tafadhali............
 
Bubu Ataka Kusema
Mchagga
Nzokahyullu
Dua
Kazi Ndiyo Kipimo cha Utu
Kyoma
 
Geoff
chrispin
firstlady sio firstlady1
Babu ataka kusema
Game theory
 
Back
Top Bottom