Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Kelly maybe NN alikuwa akisubiria urudi JF. Maybe JF wasn't the same wothout you.
 
Yo Yo!
please mdogo wangu!tafadhali
YOU MUST CHANGE
 
NN ameonekana Biharamulo kwenye kampeni za TLP....anajaribu kuboost up!
 
Last edited:
hahahaa ulaji huo!.....kep it up cuppy see hustling runs in a family we both hustler....


na hivi umetoka kumpromoto Ali Kiba najua 'uko vizuri' mwisho wa mwezi huu! na wewe u kati ya wale 200 wa NY bash? lol
 
Yo Yo!
please mdogo wangu!tafadhali
YOU MUST CHANGE
Nakuaminia mkuu una busara......lakini ku change kwangu nisikemee thread zisizo an tija?
.....huyu si cuppy wake anamuulzia? si wanasihi pamoja? kwanini asimpigie simu mpaka aje kujaza nafasi......

....threa d za namna hii zinafanya watu makini hawaonekani......
 
hehehehe najua tu mpwa Yo Yo Kelly01 alikupiga chini mwachie tu NN mzigo huo naona umekufa kwa NN achana nae mpwa. Hicho kifaa cha komredi NN.
 
Yaani vijana wangu wengi tuu siwaoni.....nikianza na
-Icadon
-Masanilo -shemu langu la nguvu
-belindajacob
-womanof substance -sijui na yeye kapotelea wapi
alafu kuna the one and only YOURNAMEISMINE (Jamani kahadimika kama jasho la nyoka)...
-Balantanda
-Moelex (my brother)
-
yaani and list goes on and on
 
Yaani vijana wangu wengi tuu siwaoni.....nikianza na
-Icadon
-Masanilo -shemu langu la nguvu
-belindajacob
-womanof substance -sijui na yeye kapotelea wapi
alafu kuna the one and only YOURNAMEISMINE (Jamani kahadimika kama jasho la nyoka)...
-Balantanda
-Moelex (my brother)
-
yaani and list goes on and on
Nipo mwana,si unajua mambo ya Biharamulo?,kumepamba moto huku,dakika za majeruhi hizi
 
NN mbona yupo,sema anaingia usiku wa manane.tembelea profile yake alafu angalia post zake za mara ya mwisho kupost ilikuwa ni jana,nadhani yupo busy tu na mambo yake.
 
Labda Ngabu Njabu ame-make good his threat🙂 Poor Nyani!
 
Nyani Ngabu yuko wapi?..........siku ya pili hii sijamuona JF......hey dude are you ok?
 
Back
Top Bottom