Wana JF Hawa Wako Wapi?...


Shapu Re: Field Marshall ES yuko wapi?

Mkuu FM ES,
Kila la heri ila kubali uko-addicted to hii kitu inayoitwa JF. Angalia bado unaendelea kukata nyanga. Hope you will come back soon baada ya mapumziko...


- Respect!
 
Mkuu FM ES. Nakutakia kila la heri katika mapambano ya kumaliza au kupunguza ufisadi. Jambo muhimu ni kuwa umeonyesha ule msimamo wako thabiti katika kutetea jambo ambalo unajua ni la kweli na dataz zinakuwepo. Upo tayari kuhitilafiana na member kwenye jambo hata kama ni member rafiki, jambo ambalo ni kwa maslahi ya taifa hili.

Ninachokupendea ni kwamba huwa unaaga then unarudi tena. Hivyo usikawie kurudi tena hapa Jamvini, tena kwenye Jukwaa la Siasa. You deserve the best. Cheers and goodbye.
 
Originally Posted by Field Marshall ES
1.

2.

Wakuu wote hapo juu heshima mbele sana nimeupata ujumbe wenu jana baada ya kutumiwa na member mmoja hapa, ukweli ni kwamba kuanzia tarehe 22/2/09 ulikuwa ndio mwisho wangu wa kujihusisha na kuchangia mijadala ya siasa hapa JF, baada ya miaka mingi hapa nilifikia uamuzi kwamba nimefika mwisho.

Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.


1.
Mkuu FM ES,
Kila la heri ila kubali uko-addicted to hii kitu inayoitwa JF. Angalia bado unaendelea kukata nyanga. Hope you will come back soon baada ya mapumziko...

2.
- Respect!
 
Nakuona FMES....mapumziko hayakaliki
 
Hivi wewe umeanza kumjua lini Mzee Es?

- Anyways, shukrani Mkulu mwenzangu, sasa naomba kuweka kalamu chini na sitaigusa hii topic tena, maana nimetoa majibu ya maswali karibu yote na samahani kwa wale ambao sikuwaridhisha na majibu yangu, lakini nimejaribu kadri ya uwezo wangu kujibu maswali yote kwa uwezo nilionao.

Otherwise, ninawatakia safari njema na mafanikio, I am always a JF member tena for life, lakini for now ninakaa pembeni na uwanja wa siasa na ni kwa nia njema sana ili pia kushughulika na siasa kwa njia zingine, juzi wameshuka mawaziri wawili na wabunge kumi niko nao hapa, watakuwepo mpaka week end, halafu atashuka mbunge mwingine nitaenda naye Iowa na Tokyo, na kupitia London, na nikirudi ninapoishi tutakuwa na CDF kwa hiyo tunaendelea na siasa kama kawaida, mafisdi wamechacha na so far wameshinda, lakini tutaendelea kujipanga upya na kukomaaa nao, maana sasa tunanunua Dowans ya Rostam.

Sasa ninaweka kalamu chini, Mungu Aibariki Tanzania, Aibariki JF na A luta continua! na Respect kwa wote wana-JF na pia heshima zangu kwa watawala wa JF kwa kunipa hii nafasi bila matatizo, mbarikiwe.

Mawasiliano yangu ni either ni-PM, au : mtuwameli(at)yahoo.com

Wazee wa sauti ya umeme - FMES!
 
Last edited by a moderator:
Dua alionekana kati ya jana au juzi hapa JF.......si kwenye Siasa though
 
Kyoma you are missed........hebu jitokeze tule busara zako kidogo
 
Pia kuna Ushirombo&Pundit pia wameadimika.Mwafrika wa Kike???
 
Ninafuraha kuwaona KadaMpinzani na BRAZAMENI wamerudi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…