Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Mzee Es jamaa yako GAME THEORY nae yuko wapi? au unaondoka nae?
 
Mzee FMES, you are good at what u do. You are one great propagandaist. One of the best from Tanzania I have read, but also easy to figure what ur driving at. One big problem, you lose your cool far too quickly, you dont like being questioned and challenged.

I have struggled where to place your contributions and motives. You are like JK, you feel like you dont know what side he is on, but you actually know what side he is on. All that aside, you is an interesting character.

Heshima mbele,as you say.

When you in London, welcome for a cuppa.
 
Mzee Es jamaa yako GAME THEORY nae yuko wapi? au unaondoka nae?

- Mkulu wangu GT, recently amekua kwenye mikakati mizito sana ya kibiashara ndio maana haonekani, lakini yeye yupo unless aseme mwenyewe tofauti, lakini najua kuwa yupo, kwani hata mimi nipo mkuu.

Respect.
 


- Respect! Ingawa umenichana mbavu sana lakini let me say this, neno internent linaanzia na kutokea kwenye entertainment, lakini nitakutafuta mkuu wangu nikiwa hapo na heshima mbele sana mkuu wangu!

- Ila tu on a serious note, kuingia kwenye taasisi muhimu kama hii ya JF kwa majina ya bandia katika kutaka kulisaidia taifa letu, unaionaje hiyo sio kwamba we are all interesting characters behind haya majina ya bandia, au? Bwa! ha! ha! ha!
 
1. but also easy to figure what ur driving at.

2. I have struggled where to place your contributions and motives.

3. You are like JK, you feel like you dont know what side he is on, but you actually know what side he is on.

- Mkuu Nzilu, hapo juu umenicha hoi sana, bwa! ha! ha! ha! na kunivunja mbavu.

Heshima mbele sana.
 


Jamani party ya kumuaga ndugu yeetu FMES vipi? au anaondoka hivi hivi tu?
Mi nashauri tumfanyie party katika hotel moja kubwa ya kifahari popote pale atakapopenda na tusisahau kwenda na zawadi zetu mikononi. MC napendekeza awe Yo Yo

Mtu huyo huyo mmoja, kule kwa thread "Mbona Lowasa sikumuona? Na gharama zililipwa na nani?" anasema waafrika na hasa waTZ tunapenda party. Hapa anashauri party .MF ANAKULA MANENO YAKE. Ajabu!!!!?????
 
Mkuu FM ES,
Kila la heri ila kubali uko-addicted to hii kitu inayoitwa JF. Angalia bado unaendelea kukata nyanga. Hope you will come back soon baada ya mapumziko...
 
Miongoni mwa wachangiaji mahiri wa JF amekuwa ni rafiki yangu Dua.
Kwa muda mrefu tu sijamsoma au kumsikia Dua. Kama kuna wanaofahamu
alipo, na tuombe Mwenyezi Mungu kuwa yu mzima, mwambieni kuna jamaa
wanammiss hapa JF.
 
Ata iko yule na kujiita SabirBachan nae hapana kuona sku izii iko na kupotea kabi kabisaa.
 
Miongoni mwa wachangiaji mahiri wa JF amekuwa ni rafiki yangu Dua.
Kwa muda mrefu tu sijamsoma au kumsikia Dua. Kama kuna wanaofahamu
alipo, na tuombe Mwenyezi Mungu kuwa yu mzima, mwambieni kuna jamaa
wanammiss hapa JF.

Ni kweli Ustaadhi Dua ni siku nyingi hajatia Mguu hapa lakini pia nimekuwa siwaoni ndugu zangu Pundit,Mwafrika wa Kike na Kisura....Popote Mlipo wandugu tunawakumbuka na kama mpo salama ndio furaha yetu!!!Piteni mara moja moja kumwaga hekima yenu hapa...
 
Katika watu walio makini humu ndani ni huyu Kyoma. Yeye huwa sio mchangiaji kwa sana lakini kila aingiapo na kudondosha busara zake wengi wetu huwa tunazikubali. Ila tatizo hajaingia/ sijamwona humu kwa muda mrefu sasa...sijui yuko wapi? Mzee Kyoma rudi bana....
 
Wapi Engineer Mohamed, Nyerererist na Kada Mpinzani
 
Pundit kumkosa ni great loss kwa kweli...anahitajika sana..kwenye lugha.Pundit please come back...champ.
 
Bandwidth....
 
Nyani,
Asante kutukumbusha juu ya Kyoma. Leo asubuhi nilikuwa namfikiria pamoja na Dua. Ngoja nimtwangie simu nimwulize kulikoni.
 
Mwawado,
Nadhani Mwafrika wa Kike aliaga mwisho wa mwaka. Michango yake humu
iliwakera ndugu zake wakamwomba apumzike.
 
Na Njabu Ngabu yuko wapi? I truly miss kicking his azz all over this forum...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…