Juju juju hv????
we hujaenda jandoni eee!!!!
Nitakupeleka sasa.
Halafu wewe mi nimekumaindi sana we ngoja tu...na tukifika huko TA na tusijuane aiseee...najua ushajielewa!!!
Mpaka sasa najua flat nyng zpo Arachuga..
Madame B unajua nimeshangazwa na mbwembwe zako zote lakini hujajua kila boma lina mkuu wake!!!
Mimi ndiyo mkuu wa boma hili, kwa kuwa ulikuwa hujui nakusamehe.
Karibu sana huku kwetu, sweetlady, marejesho nawaagiza kuwa karibu na mgeni mpaka mwisho ili machalii kama Arushaone wasimdhuru kabisa.
Kazi hii nimepewa na mkuu fulani nami naitekeleza kwa asilimia zote.
Mungi ukikukuruka tu kwa mgeni, cello ipo wazi inahitaji watu. PakaJimmy protocol inakataa kumpa majukumu ila Preta atakuwa Informer wangu ili mambo yasiende kombo.
Nicas Mtei ushindwe! nani kakuambia my Lily Flower amepigwa pasi?Naomba Mungi babe aje akonfem hii kitu, mwisho wa kunukuhu Nicas Mtei.
Madame B usidanganywe na Mzee wa Rula anaishi Simanjiro.................... arachuga anakuja kama mgeni tu! we onana na mimi tu
Nicas Mtei ushindwe! nani kakuambia my Lily Flower amepigwa pasi?
Atakuja kukonfem hakuna haja yakuandikia mate ilihali wino upo, Mungi babe pitia huku kwanza kabla ya kwenda kazini.
Si bora sie tumefata ushauri wa TCRA nyie bado mnazo zile zenye matumbo?
Achana na akina Nicas Mtei mpenzi.............. hawajui we una pick up unaweza kumpa lifti
Sasa je,Kumbe unajua,
Muone kwanza Bichwa Pana kama Friza za mochwari.