Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Yupo Dom! Sijui na yeye kama ni mNEC au sio!
Last edited by a moderator:
Ahsante shemeji.salamu zako zimefika!
Nani kakuambia warembo wa Arusha wamepigwa pasi? usiwasikilize akina Nicas Mtei
Una hatari wewe!
Mkuu futa kauli yako kabla sijaku-barlow ohoooooo!!!!!!!!!! chezeiya mama ya Mwanza.......................:target:
Sasa sijasema kama umepigwa pasi au umebeba maboga ushaanza kunipiga mkwara! ukiniuzi ntaropoka mie!