Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Yale maelezo aliyoyatoa Asprin na gfsonwin kuhusu majaaaliwa aliyokukirimu Mwenye Enzi sasa umefika wakati wa kutamalaki! Karibu sana Madame B nikuone kwa macho na kukiri kwa Kinywa kama Thomaso! Sitaki kuadithiwa.


Mifataki mshaanza, mniache nipumuweeeeeeeeeeeee............
Naenda kusema kwa wifi marejesho
 
Last edited by a moderator:
aiyaaaa! Madame B ndani ya Ar???
mmh!.................sijui kama aataaacha na roho zenu. nakushauri Filipo nenda kanunue chupi ya chuma kabisaa manake hata ikisimama haitoonekana atii. ilo nilimbaula acha mungu asifiwe kwa uumbaji wake bana!

mamito gfsonwin umeamkaje!!!
Yani ndo hivo shost naelekea Arusha, Kwa mwaliko maalum wa PakaJimmy.
Nilikwambia tuongozane lakini ukasema una majukumu.
 
Last edited by a moderator:
Karibu Arachuga Madame B umefika wapi, kuna viwalo vya hatari nimekutayarishia kama ulivyoomba......... waiting.
 
Last edited by a moderator:
cacico jamani atawaacha na roho zao kweli??
yaani chonde Madame B usijeleta dhahama huko AR manake si unajua watu wa huko full kupigwa pasi?? sasa ukishuka na hilo tukunyema lako sijui akina Filipo na wenzie watakuwaje.

ahhhh gfsonwin usijali, nitarudi na roho yangu.
si unajua Chimbuvu wangu katulia tuliiii mtoto wa Kitanga!!!!!
Hana wasi na mimi.
Huyo Filipo ashindwe na alegee.
 
Last edited by a moderator:
karibu karibu mgeni jisikie uko nyumbani.
Usisahau kunitembelea mitaa ya matejo.nitakutembeza kwenye mitambo yangu yote ya gongo.

Mie tena mkiva, wala usijaliiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom