Madame B unajua nimeshangazwa na mbwembwe zako zote lakini hujajua kila boma lina mkuu wake!!!
Mimi ndiyo mkuu wa boma hili, kwa kuwa ulikuwa hujui nakusamehe.
Karibu sana huku kwetu,
sweetlady,
marejesho nawaagiza kuwa karibu na mgeni mpaka mwisho ili machalii kama
Arushaone wasimdhuru kabisa.
Kazi hii nimepewa na mkuu fulani nami naitekeleza kwa asilimia zote.
Mungi ukikukuruka tu kwa mgeni, cello ipo wazi inahitaji watu.
PakaJimmy protocol inakataa kumpa majukumu ila
Preta atakuwa
Informer wangu ili mambo yasiende kombo.