Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Hii miguu inadalili za usony wega kweli? Nicas Mtei.![]()
hahahahahaha. Bado. Sina uhakika
Last edited by a moderator:
Hii miguu inadalili za usony wega kweli? Nicas Mtei.![]()
Namuonea huruma Chimbuvu
Ile kamati ya mkodobwe iko chini ya nani? manake Nicas Mtei amezidi huyu
Hapa naona kuna hatari ya mtu kusutwa,,,
Usijali Mzee wa Rula , kila kitu kitaenda sawa kabisa!Madame B unajua nimeshangazwa na mbwembwe zako zote lakini hujajua kila boma lina mkuu wake!!!
Mimi ndiyo mkuu wa boma hili, kwa kuwa ulikuwa hujui nakusamehe.
Karibu sana huku kwetu, sweetlady, marejesho nawaagiza kuwa karibu na mgeni mpaka mwisho ili machalii kama Arushaone wasimdhuru kabisa.
Kazi hii nimepewa na mkuu fulani nami naitekeleza kwa asilimia zote.
Mungi ukikukuruka tu kwa mgeni, cello ipo wazi inahitaji watu. PakaJimmy protocol inakataa kumpa majukumu ila Preta atakuwa Informer wangu ili mambo yasiende kombo.
wacha weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mie tena, mtanichoka wenyewe.
Asante LiverpoolFC
Ina maana kwa Arusha yote ambaye hajapgwa pasi ni Kabakabana peke yake? Duh! sweetlady ni bapa? marejesho ni bapa? Blaki Womani ni bapa? Lily Flower ni bapa? Preta naye pia ni bapa?