Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Last edited by a moderator:
I love Arusha So Mmmwaahhhh...!!!!!!!

Wana Jf wa AraChuga Wing Nipokeeni...!!!!!!!
Natia timu Kujiandaa na Safari ya Tanga.
Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mungi, Erickb52, PakaJimmy, marejesho, Preta, LiverpoolFC, Blaki Womani, sweetlady, Mzee wa Rula
Nitaendelea kuwataja, narudi..........

Nitafutieni Hoteli Nzuri,
Muhudumu mzuri na Mapokezi mazuri.

Najua Kaizer anakuja Dar, gfsonwin atakupokea....nishakuwekea Oda.

Arushaone Hubby, Jidai tangu sasa maana mateso yote yataisha.
Nitatua Rasmi Tarehe 22, Inshaallahhhhhhhh.....!!!!!!!!!
Preta nionyeshe kiwanja kizuri,
Wifi marejesho nionyeshe Club bomba,
Shem Filipo Nitafutie hotel nzuri,
Shosti Lily Flower niandalie nguo nzuriiiii,
Shemeji wa zamani Erickb52 nitafutie mahala wanapouza vinywaji vikali,
Shem Mungi Nitafutie gari bomba ya kuzunguka nayo Arusha nzima,
Wa Emergency PakaJimmy wewe utakuwa pembeni kusubiri kipenga kikilia,
Wewe Mzee wa Rula utaratibu safari yangu yooote ya huko,
Mke Mwenza Blaki Womani wewe nitafutie Kiatu bombaa,
Shogae Preta wewe nifanyie Booking ya kuniingiza kunako trip ya Tanga,
Mkuu LiverpoolFC kama tulivoongea Juzi, usikonde....
Shostito sweetlady wewe tutapuyanga mitaani wote

HODIIIIIIIIII.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HODIIIIIIIIII.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hujanitaja Madame B na nanuna rasmi na kiwanja chochote nawapiga marufuku akina Filipo, Arushaone, Preta, marejesho, Mungi, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Blaki Womani wasikupeleke kabisa
 
Last edited by a moderator:
UmeniPM saivi na bado unataka kunikana mbele za watu? asante kwa PM yako sweetlady nakuahidi ntatekeleza kama ulivyoagiza.................. la msingi nihakikishie mwenyewe kuwa nitonye hatakuwepo kama ulivyoniambia kwenye PM
Khaaa! Shindwa pepo! source: Filipo.

Naona umetumwa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Achana nae, hajui kama wewe ndie muzee ya mujini! Papaa Mr Rocky mutu ya pesa! Anashoboka na hao wauza maji soko la mbauda akina Filipo !

ngoja nitonye aje ndio tutajua nani anashoboka na nani ni muuza mtumba! Na huyo Mr Rocky tangu wamehamishiwa nmc amekuwa na mdomo sana! Ngoja meya wa kichina apigwe chini kama hajarudi kwao na barabara ya vumbi!
 
Last edited by a moderator:
ngoja nitonye aje ndio tutajua nani anashoboka na nani ni muuza mtumba! Na huyo Mr Rocky tangu wamehamishiwa nmc amekuwa na mdomo sana! Ngoja meya wa kichina apigwe chini kama hajarudi kwao na barabara ya vumbi!
nitonye yule ni joka la kibisa halina meno kabisa akija wajukuu watakuwa wanamchezea kama babu yao na ndo maana unamuona hata hajali sweetlady ni wangu tuu hata aje nitonye Filipo hata aje meya wa New York nitapmabana nae vibaya mno nipate haki yangu kwani vijana wangu niliowaajiri kuuza mitumba lazima wapate eneo la kuuzia
sasa wewe Filipo na wenzako akina Erickb52 na Arushaone sijui biashara ya maji mtauzia wapi
 
Kwani umeacha kupaka wadada rangi za kucha?
 
Mwambie huyo anaefanya biashara za msimu. Sahivi anajidai vile maji yananyweka!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom