The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Duh!!!
Hivi kuna kipimo cha kujua kama mtu kapigwa pasi?
Umepanda Ngorika? mi nipo Sakina Bar ila nimefikia hotel 2000
Fidel80; Funguka vizuri! Hapa uko home!
duuuh aiseee!duh!!!
I love Arusha So Mmmwaahhhh...!!!!!!!
Wana Jf wa AraChuga Wing Nipokeeni...!!!!!!!
Natia timu Kujiandaa na Safari ya Tanga.
Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mungi, Erickb52, PakaJimmy, marejesho, Preta, LiverpoolFC, Blaki Womani, sweetlady, Mzee wa Rula
Nitaendelea kuwataja, narudi..........
Nitafutieni Hoteli Nzuri,
Muhudumu mzuri na Mapokezi mazuri.
Najua Kaizer anakuja Dar, gfsonwin atakupokea....nishakuwekea Oda.
Arushaone Hubby, Jidai tangu sasa maana mateso yote yataisha.
Nitatua Rasmi Tarehe 22, Inshaallahhhhhhhh.....!!!!!!!!!
Preta nionyeshe kiwanja kizuri,
Wifi marejesho nionyeshe Club bomba,
Shem Filipo Nitafutie hotel nzuri,
Shosti Lily Flower niandalie nguo nzuriiiii,
Shemeji wa zamani Erickb52 nitafutie mahala wanapouza vinywaji vikali,
Shem Mungi Nitafutie gari bomba ya kuzunguka nayo Arusha nzima,
Wa Emergency PakaJimmy wewe utakuwa pembeni kusubiri kipenga kikilia,
Wewe Mzee wa Rula utaratibu safari yangu yooote ya huko,
Mke Mwenza Blaki Womani wewe nitafutie Kiatu bombaa,
Shogae Preta wewe nifanyie Booking ya kuniingiza kunako trip ya Tanga,
Mkuu LiverpoolFC kama tulivoongea Juzi, usikonde....
Shostito sweetlady wewe tutapuyanga mitaani wote
HODIIIIIIIIII.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HODIIIIIIIIII.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Weeee, thubutu yake
Nina Kijungu kama Sara Msauzi
hebu nijibu haya hao ulowataja hapo wamepigwa pasi ama la??
Kila moja anatakiwa kujieleza mwenyewe hapa kabla sijatoa jibu mie