Private Driver

Private Driver

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
41
Reaction score
19
Habarini za wakati, ndugu wana jamii forum.

Kwanza nipende kushukuru wale wote walio niamini wakanipa kazi za mda kufanya nayo, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi.

Leo, nipo kwenu tena. Ombi langu ni nafasi ya kufanya kazi na taasisi ama watu Binafsi kama Dereva.

Uwezo katika udereva. Ninaendesha gari za automatic na manual kwa uweledi zaidi, usinamizi mzuri wa chombo husika, ujuzi wa njia za ndani ya mkoa wa Dar es salaam na njia kubwa Yani High way zote za Tanzania.

Kwa watu Binafsi, Nafanya kazi kwa makubaliano ya masala, week ,mwezi au miezi kutokana na mteja anahitaji dereva kwa mda Gani, kuhusu malipo Ina tegemea kama ni ndani ya mkoa wa Dar au nje ya mkoa (itategemea).

Kwa taasisi, malipo nimakubaliano na ofisi kwa kuzingatia mkataba wa pande mbili.

Lugha, nazungumza kiswahili na kingereza.

Mawasiliano
Sim:0627776134
Email: jamesjoshuaem@gmail.com

Uaminifu katika kazi nijambo la msingi.

Note: Usiendeshe gari ukiwa umelewa, unausingizi ama uchovu, mawazo KUPITA KIASI, matumizi ya sim. Yote haya yanaweza kukuongiza matatani
 
Madereva wanoweza kuendesha manual hivi sasa wapo wachache sanaa vijana wakishamaliza driving school ndo washamalizana na manual

Hongera dereva mwenzangu upate hitajio la Moyo wako
 
Madereva wanoweza kuendesha manual hivi sasa wapo wachache sanaa vijana wakishamaliza driving school ndo washamalizana na manual

Hongera dereva mwenzangu upate hitajio la Moyo wako
Asante sana mkuu🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom