Jukwaa chit-chat mnataka nyuzi za aina gani ?

Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔

Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
waduh kenafa samfe di gitu in.jpeg
79008e78-303f-4b66-a9f4-31f6d9f189bd.jpeg
 
Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔

Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
Wanaangalia ntu na ntu.

Kuna bwana mmoja ni mtu mzima ana nyuzi za maujinga na mapicha ya kipuuzi ila wanamchekea tu.
 
Back
Top Bottom