Mhhhh@slave nafikiri unakaribia kuchukua cheo cha Erickb52 cha penda penda maana mara Lady doctor mara Evelyn Salt maara Mamndenyi duh nani ni nani sasa
Last edited by a moderator:
naenda kuseema kwa maama kuseema! jus singing.
Jaman memic hiz pande mm jamaniiii
:-!
naimba tu mkuu tatizo nini?we nani?
naimba tu mkuu tatizo nini?
Jaman memic hiz pande mm jamaniiii
:-!
Mie humu mpk nimesahau njia za kupita...
wewe jamaa mkarimu sana. hii ndio sifa kuu ya sisi wanaume....
YEAH! sana sana tu.... ndio asali kaka!hehee! ahsante mkuu, mwanaume mkarimu ni kimbilio la wanawake warembo!