Wana chit chat dhaifu

Wana chit chat dhaifu

is that the only 'righteous' thing that I got, Elizabeth Dominic? Thank you though
Kaizer wangu..........mengi mazuri i'm sure you got lakini please refer heading ya hii thread keyword ni UDHAIFU..........so in the words of John Mnyika mimi nasema Kaizer ni mwana chitchat dhaifu no pun intended.......lol......hapo kwenye udhaifu niachie mimi tuendelee kusasambuana
 
Last edited by a moderator:

eeeh makubwa ngoja kamata hii

Chitchat daily

Hatimaye Kaizer aitwa mwanachitchat mdhaifu

  • Ni kufuatia kauli ya mnyika Bungeni
  • Elizabeth Dominic amtaka arudi kwen mstari na udhaifu wake
  • Amtaka waendelee kusasambuana
  • Yeye akana, amwomba Erotica aokoe jahazi
  • Erickb52 afurahia, asema "Mungu kanilipia"
Habari kamili mfolo Kaizer #Udhaif
 
    [* Elizabeth Dominic amtaka arudi kwen mstari na udhaifu wake
  • Amtaka waendelee kusasambuana
  • Yeye akana, amwomba Erotica aokoe jahazi
  • Erickb52 afurahia, asema "Mungu kanilipia"
Habari kamili mfolo Kaizer #Udhaif

Itauza kweli..............halafu............
Elizabeth Dominic Ajibu mapigo ya Kaizer
  • Asema kama kukimbilia kuchafuliana kwenye Magazeti ya Udaku si Udhaifu yeye ana maneno zaidi
  • Aamua kujiunga mtandao wa twiraa kujiimarisha zaidi
  • Erotica ashindwa kusuluhisha.............
Habari Kamili folo kwenye ukurasa wake wa twiraa na fesibuku ...........
 
Last edited by a moderator:
eeeh makubwa ngoja kamata hii

Chitchat daily

Hatimaye Kaizer aitwa mwanachitchat mdhaifu

  • Ni kufuatia kauli ya mnyika Bungeni
  • Elizabeth Dominic amtaka arudi kwen mstari na udhaifu wake
  • Amtaka waendelee kusasambuana
  • Yeye akana, amwomba Erotica aokoe jahazi
  • Erickb52 afurahia, asema "Mungu kanilipia"
Habari kamili mfolo Kaizer #Udhaif
Hehehe muda si mrefu humu utasikia Kaizer dhaifu....kamoja tu hoii anahema utadhani alikuwa mbio za vijiti lol
We ngoja tu yangu macho na usinsumbue
 
Last edited by a moderator:
Itauza kweli..............halafu............
Elizabeth Dominic Ajibu mapigo ya Kaizer
  • Asema kama kukimbilia kuchafuliana kwenye Magazeti ya Udaku si Udhaifu yeye ana maneno zaidi
  • Aamua kujiunga mtandao wa twiraa kujiimarisha zaidi
    [* Erotica ashindwa kusuluhisha.............
Habari Kamili folo kwenye ukurasa wake wa twiraa na fesibuku ...........

Chitchat bynight
Kaizer na Elizabeth Dominic sasa kusuluhishwa 'usiku'
  • Ni kufuati wote kukiri 'udhaifu' wa 'vyama' vyao
  • wenyewe waruka kimanga, wavunja kamera ya mwandishi
  • Erotica aibuka, asema 'ni upepo tu utapita'
  • wanachitchat wawashangaa
Habari kamili wafollow #kaizer@Elizabeth Dominic
 
teh na ndo jitahidi
 
Last edited by a moderator:
Hehehe muda si mrefu humu utasikia Kaizer dhaifu....kamoja tu hoii anahema utadhani alikuwa mbio za vijiti lol
We ngoja tu yangu macho na usinsumbue
Erickb52 mbona unaleta maongezi ya like jukwaa jengine hapa?
 
Last edited by a moderator:
don't cheat in a relationship..if u r not happy then just leave CUTE, kila nikitafakari maneno haya nabaki na maswali mengi, hivi watu hu-cheat coz they arent happy in the relationships they are!?? sijapata jibu...
Mentor anacheat mtu koz kuna kitu anamiss kwa mpz wake na anafikiri anaweza kipata nje,ama amevutiwa na kitu nje ambacho mpz wake hana,au aliko hana raha kila siku karaha so anaamua kujipatia kipoozeo nje,sababu ni nyingi na wengine ni tamaa tu za mwili tu ivo hakuna formula maalumu ya kucheat
 
Ila unakubali kucheat kupo sio CUTE
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom