Wana chit chat dhaifu

Wana chit chat dhaifu

nimekuona huko chini mkwe Kaizer unavyojitetea udhaifu wako, mpaka kwenye magazeti ya waandishi wa veta aka shigongo pepaz upo, lol!

Yaani mkwe cacico, muhimu sana nisije kosa mwali bure,,,kisa eti mi dhaif lol
 
Last edited by a moderator:
Mentor anacheat mtu koz kuna kitu anamiss kwa mpz wake na anafikiri anaweza kipata nje,ama amevutiwa na kitu nje ambacho mpz wake hana,au aliko hana raha kila siku karaha so anaamua kujipatia kipoozeo nje,sababu ni nyingi na wengine ni tamaa tu za mwili tu ivo hakuna formula maalumu ya kucheat
CUTE, i think hapo ndipo haswaa...
natafakari zaidi..ntakupa feedback yangu baadaye!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mkwe cacico, muhimu sana nisije kosa mwali bure,,,kisa eti mi dhaif lol
nakutunzia usijali! yaani utamkuta pure sealed, hakuna hata mikwaruzo! we endelea na hawa, mke halali, nakuwekea. kwa kweli udhaifu hauhuu ebo!
 
Kaizer hahhaha unanichokoza kishingo upande kivipi.....kwanza umeshaenda pamoko(ushakula lunch)

apo CUTE bado time bana...asante kunikumbusha..au wewe upo mashariki ya mbali?
 
Last edited by a moderator:
ufundi tu.........

Khaa!.... Mbona unanitia wivu bibie BADILI TABIA?.......Dah! Yani pamoja na kukutoa out weekend iliyopita bado unanichakachua? Ngoja nimtafute cacico labda atakuwa ametulia.

attachment.php


'....wamevimbiwa uhuru, wamevimbiwa raha......'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom