Wana chit chat dhaifu

Heheheheee msikosane@Erotica ila hakikisheni kila abiria anachunga mzigo wake ndio amani itakuwepo

si intanteni mizigo Erickb52. they slow u down. wacha Amy aendelee tu na mizigo yake.

mie kazi yangu kukagua tu na kumwachia mwenyewe. unaweza niita luggage inspector. :wink2:
 
Last edited by a moderator:
Duh Kaizer najisahau sana aisee lol
Ngoja nihame zangu jukwaa maana huku Amyner hakawii kunipa life ban then nisononeke milele
Ukinikosa ujue niko jukwaa la Matangazo Madogo na nikishindwa kule naenda kwa akina Rungu na shosti

hhahahahah Erickb52 yaaani sikunzima sijacheka kama leo...kumbe upo kwen probation ya Amyner afu unajifanya kukumbukia ya BADILI TABIA sio... kule chini naona watakupa umodereta
 
Last edited by a moderator:
hhahahahah Erickb52 yaaani sikunzima sijacheka kama leo...kumbe upo kwen probation ya Amyner afu unajifanya kukumbukia ya BADILI TABIA sio... kule chini naona watakupa umodereta
Hahahahaaaa halafu Kaizer cha ajabu kwa kawaida probation huwa zina muda ila yangu hata sijapewa muda wowote..
Yani inanitesa bora hata ingejulikana itaisha lini lol
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. cant help it mamito. wen i see u i see ur lips 1st, then ur eyes.

baada ya hapo naweza kukusikiliza nini wataka nisemesha..

ehee unasemaje Elizabeth Dominic a lady as real as u can get....:yo:

:mwaaah: Thats all i can say.............. Erotica enough about udhaifu wetu embu tu explore udhaifu wa wengine............. Kaizer upo?
 
Last edited by a moderator:
si intanteni mizigo Erickb52. they slow u down. wacha Amy aendelee tu na mizigo yake.

mie kazi yangu kukagua tu na kumwachia mwenyewe. unaweza niita luggage inspector. :wink2:
Wakaguzi huwa wanafaidi sana aisee lol
Uje unikague this weekend kama kuna mapungufu kwenye mizigo yetu na bibie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom