Wana chit chat dhaifu

Wa kwanza kabisa ni huyu.... cacico.

41247_438609861224_104157016224_5149015_1077097_n.jpg

duh cacico kumbe ajuza weye?
 
Last edited by a moderator:
aisee Erickb52 upo vietnam nini? Mida gani hii ulikuwa unapost? mi niko na Amyner hapa anakusalimia.:fish2:
Hahahahahaaaa Kaizer mi sina shida na hii ndio inanipa chance yakuikwepa probation coz naona maisha ya probation magumu sana aisee lol hata kusalimia watu naogopa siku hizi
Ngoja akija nimletee noma ili nipate nafasi ya kulipiza..siunajua tena wizi kidogo lol
 
Last edited by a moderator:
Bishanga – sabb ananigwaya hata pesa zake hazmsaidii kwangu.
Erickb52 sabb hana msimamo na ni mwongo! Hakusema kaoa ili kieleweke
Amyner sabb haambiwi wala hapumui bila Eric
Black Bat sabb katoa swali bila yeye kutaja wadhaifu
Mamndenyi udhaifu wake uko kwenye kushindwa kujizuia kutoa likes
Boflo sabb najarib kufikira dhaifu lake silipati
Elizabeth Dominic
udhaifu wake yale macho yale. Kashindwa kabisa kuweka yasiwe na mvuto.
Mamods wote! Kila niliyemtokea ananitolea nje, eti sbb daktari haruhusiwi kutembea na
mgonjwa- nani aliwambieni nataka kutembea??!!
We Erotica wewe,halafu ujue nimepima majuzi hivo mi ruksa kulamba kavukavu,subiri nakuja kukugongea mlango.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom