Wana chit chat dhaifu

Wana chit chat dhaifu

Nimeku pm. sitaki kuanzishiwa sred mie. wana chit chat hawachelewi. wana too much tension :A S wink:

Ndo maana ulipofika darasa la tano tu haooo wakakurusha darasa hadi form 3 Arusha Modern. Chezeya Erotica weye.....yaani safari hii ukija kuungama nakupa na chupa ya mvinyo ukampelekee mama
 
Last edited by a moderator:
Maadam sasa umeniita kipenzi badala ya basha, haya mchungulie Kongosho hapo akiwa anaenda kujifunza kuogelea mwaka 1982...

2reirs1.jpg
nashukuru nimemuona! kweli wabwaku wanafaidi! lol! na ile picha ya Erickb52 aliyoiweka kule ya wewe ukicombine hapa ni balaa! yupo supa!
 
teh teh teh. nimeamini wewe kweli umefunuliwa na The Great Lord.

hizi habari za shule umezitowa wapi na za kweli ivi? teh teh teh.

mama nikimwambiaga mchungaji ni Kaizer anasema nisirudie tena. nitakuja ila usnipe mvinyo :hand:
 
Usisahau kama wachungaji tumeona mengi,,,,unadhani tunawezaje kutoa homilia kila jumapili? orait mvinyo utaunywea kwen maungamo....lol
 
Back
Top Bottom