Wana chit chat dhaifu

Wana chit chat dhaifu

baby wangu relax,
sijawahi kukuchakachulia....





Khaa!.... Mbona unanitia wivu bibie BADILI TABIA?.......Dah! Yani pamoja na kukutoa out weekend iliyopita bado unanichakachua? Ngoja nimtafute cacico labda atakuwa ametulia.

attachment.php


'....wamevimbiwa uhuru, wamevimbiwa raha......'
 
apo CUTE bado time bana...asante kunikumbusha..au wewe upo mashariki ya mbali?
Kaizer kesho jioni nakupa dinner nzuriii sana everthing on me..
chagua kulingana na imani ya dini yako
fg1.jpgfilet-mignon-de-9596702.jpgna itaseviwa namna hii mkuudecoration-ideas-romantic-dinners-home-1.1-800x800.jpg angalia pia hapa kama utaipenda na hii iweko pia DSCF7679.JPG
 
Erickb52 yanakubadilikia nn wakati ww ndio ulinipeleka kule mwenyewe ukaniacha ukaondoka sasa ulitakaje tena
na nimeshampa Kaizer dinner recipes achague hapo juu atakachopenda mm naingia jikoni mwenyewe namtolea kitu murua
Don't cheat in a relatioship..if ur not happy then just leave
 
Last edited by a moderator:
Halafu apo juu Asprin tafadhali usimezee mate menu iyo
 
Last edited by a moderator:
khaa! kwani umesikia ndio kupata dinner pamoja ndio tumecheat jamani lol! kweli we unapenda sana chabo kama alivosema Kaizer
Yaani CUTE uyo dogo ameshindikana sema kiroho kinamdunda sijajua kwa nn?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom